Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo kaandika kijana anayepaka lotion dar[emoji1787][emoji1787]
Yani anashindana na amber rutty kujichubua
 
mwacheni mama afanye kazi! Kama unampenda namna hiyo JPM, mbona usizikwe nae kama kwenye Shaka Zulu?
Wewe vyeti feki tunakujua ,baada yaxkutumbuliwa sasa unauchungu hadi matak*ni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukome kumiliki vyeti feki ukijidai msomi [emoji23][emoji23]
 

Siku zote ndege wafananao ndo huruka Pamoja.

Kwenye kukurupuka una tofauti gani na huyo unayemkubali?
 
Mnabaguaba kisa region[emoji1787][emoji1787]
Zanzibar na tanganyika, mnabaguana kisa makalio, mnabaguana kisa rangi..

Yani nyie ni wabaguzi sana
Umebadilisha ss kutoka chama unalazimisha iwe region [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaka huu lazima muuwane alafu ukuje utuambie hambaguani.
Hiyo ni mambo ya media babaa ..kenya is a very mature country ..huku usitu judge kwa yale unayaskia kwenye tv etc...we love each other na tuna umoja sana..we work together and we love one another....What we have in kenya is freedom of the media ..freedom of speech ...freedom of expression....Huku kenya hatusumbuliwi au kunyanyaswa na serikali kama tanzania...eti mtu anshikwa kwa sababu ya ku post sijui eti nani mgonjwa kalazwa kenya blabla.
Tanzania mnaumia sana kutuliko sisi ni vile tu kwenu ukifungua mdomo...utajua kilicho mtoa tundulissu manyoyaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…