Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona kaamua kuwatolea uvivu. [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Mbona makasiriko bro, hatakiwi kukumbatia mtu bali afanye uadilifu uwe insurance ya mtu kustay kwenye kitengo
mwacheni mama afanye kazi! Kama unampenda namna hiyo JPM, mbona usizikwe nae kama kwenye Shaka Zulu?
 
Mkunya akiandika kejeli ni sawa ila Mtanzania akirudisha kejeli hapo ndipo watu wa ''human rights'' huanza kelele. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa "Human rights" wanataka kutufundisha ustaarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ungekuwa umesoma nini chanzo cha haya majibizano ungetulia pembeni.

Namuunga mkono joto la jiwe 100%
Huwezi tukana Watanzania wenzetu halafu tukuache hivihivi huwa tunapiga kwenye mshono.

Msipende kurukia majibizano bila kuagalia yameanzia wapi.

Nimeona yameanzia kwa rubani wa ATCL and it wasn’t good, the argument escalated to the extreme point, ndio maana nikatumia neno ‘you are going overboard’. Anyways, the duty of a good man is to advise, the wise and prudent will take the advice, the wicked and arrogant will ignore and mocking, that is the time Karma will take its chances. The choice is yours.
 

Sawa mutu ya ''Human rights''
 
Sizikwi ng'o, ntaendelea kuwepo kusambaza harakati za Magu mpaka ifike mahali ssh awe anamtaja Magu kila anapohutubia ndio watu wamuelewe
Huna mapenzi na mwendazake! Maana unaogopa kupachuliwa shingo! Hii maneno ndo ungedhihirisha unachotetea humu kivitendo!



Angalia wenzio wanachofanya
 
umeshakaa kwa mkeka na dera huko uswazini unajiliwaza ujinga.......you are a very poor country bro...or siz....whatever you are
 
Chama gani hicho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tz chama ni kimoja tu au hujui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnabaguaba kisa region[emoji1787][emoji1787]
Zanzibar na tanganyika, mnabaguana kisa makalio, mnabaguana kisa rangi..

Yani nyie ni wabaguzi sana
 
Ungekuwa umesoma nini chanzo cha haya majibizano ungetulia pembeni.

Namuunga mkono joto la jiwe 100%
Huwezi tukana Watanzania wenzetu halafu tukuache hivihivi huwa tunapiga kwenye mshono.

Msipende kurukia majibizano bila kuagalia yameanzia wapi.
Jamaa yani anajua kupiga pini, mpka mnahaha, huaga namkubali sana Walker255 jamaa nimkimya lkn akiamua kupuga pini nzi wote wa kijani husambaaratika alafu ndio unaanza kukuta mmoja wanajitafuta kipya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pole sana, hapo nyie wanaume pingeni hoja zake malalamishi pelekeni kituoni mbezi
 
Swadakta, hivi mtu unaona kabisa joto la jiwe ka comment kama hivyo alafu unamrukia tu pasipo kufuatilia chanzo? Huo ni ukosefu wa adabu kabisa.
Bomu liliachiwa jana lkn nsi mpka leo wanajifurukuta milango yote ya chuma alafi nyumba imewaka moto...sijui mtatokea wapi manake ukitia pua tu unakutwa na balaa lingine..

Km we mwanaume mjibu kw hoja acha kulalamika km kahaba aliyezidishiwa shot wakati hela haifiki
 
hawa weusi wanaenda kuwajengea ships za jeshi navy yenu,say thanks to the Blackest KDF😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…