Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa raha zake, Kenya sio kama Tanzania, Kenya you are allowed to own whatever you want bora inakubalika kwa sheria. KG plates hupewa vehicle dealers wakisubiri private plates.
acha ushamba.....
izo gari za Russia znatumika kwe swamps na isitoshe c naona namba za government of Kenya apo so......
 
hio ni software gani ya ku trace source of pictures ?

ila dai tena kuiba picha kama hapa sio kitale👇🏽
 
HIVYO NDIO MLISEMA IKAANZA KUWALA VICHWA MOJA MOJA
Ugonjwa wowote unaua kwa hiyo hata korona lazima watu wafe ,ila kwa tz korona ni kagonjwa kadogo vyakula vyetu tunakula ni high quality, kutoka shambani to mdomoni ,wengi wanaokufa na korona ni watu wa kununua vyakula super market
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…