Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ooooh... my friend wee haujui.. huku kenya, stalls ama joints za kontena ndo swagg.. ata uliza KANAIRO ama Simba 254
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787]swaga a tofali ni ghali mnoo?..tukisem nyie fukara mnakataaa tazama sasa
 
Kulikua na ubaya or it was a positive decision on your opinion
Haikuwa na haja ya kuchukuwa pesa za wastaafu kugharimia ujenzi wa daraja.

Serikali ya Rais Kikwete ilikuwa haikusanyi kodi, pesa hiyo ingetosha kujenga hilo daraja bila kupeleka mzigo kwa wananchi masikini. Sasa wakina Prof Mbarawa wanalazimika kujieleza wakati hata hawakuwepo kipindi cha maamuzi.
 
Ofcoz yes tz sio kimbilio la kila mtu,apa wanapaweza wenye discipline tu..sisi bado tunamiiko
lakini naskia tz huaga hamtaki mtu wowote toka nje, na hasa kama hana kibali kamili ama documentation toka kwa serikali. i hear local citizens collude with the police to harass and to bring forward foreign african nationals and especially kenyans to be precise, who are in tz illegally. all this brewed out of their immense jealously, just because kenya is doing better than them in almost all fronts ever since time in memorial

nb:-
am telling you the thousands of tanzanians in gikombaa market, non of them have any work permit or documentation to be in the country. the gov't is aware, but still however find that the same gov't protects them whenever theirs any protests btwn them and the local traders. take the case of mp. jaguar remarks for instance. he almost got jailed for trying to protect local businesses by inciting local traders and daring to evacuate illegal tz immigrates. to me, jaguar is true hero, a real brain child of this great nation.! https://www.facebook.com/
 
najua tu watz humu wangeulizwa wange wish kuzaliwa nchi gani kati ya ke na tz, wengi wenu mnge chagua kenya, ila mnaogopa, ama mtaona aibu kuyasema hayo hapa.. hehe.. ukweli wa mambo

"kenya the most sophisticated country in this eastern africa block, with a consistent track record of being the largest economy in this region ever since the colonial times"
 
Mkituletea ujinga kwani mtatoa wapi chakula? Viongizi wako wanajua,wakijaribu deport hao watzania mmeisha.
 
najua tu watz humu wangeulizwa wange wish kuzaliwa nchi gani kati ya ke na tz, wengi wenu mnge chagua kenya, ila mnaogopa, ama mtaona aibu kuyasema hayo hapa.. hehe.. ukweli wa mambo
Nan aje kwenye njaa!?
 
Yaani KWa Raha nazopata mbeya chipx za jero sahani imejaaa niwaze kuhama tz [emoji1]. Jokes yako nzur Sana mzeee
 
Thats not true we have thousands of Kenyans earning a living in Tz and some do not have proper documentation but we take them as ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…