Pole Mzee wa Iphone7 hayo maghorofa si kitu kwetu kuna mambo makubwa zaidi punde yakikamilika.....mbona mtajuta mpaka basi......yaani mtaisoma namba na herufi how T is better than K....Hongera serikali ya kikwete kwa kujenga TPA na pspf watu hapa wangekosa cha kupost
sent from iPhone 7
[emoji23] [emoji23]Pole Mzee wa Iphone7 hayo maghorofa si kitu kwetu kuna mambo makubwa zaidi punde yakikamilika.....mbona mtajuta mpaka basi......yaani mtaisoma namba na herufi how T is better than K....
kwa bongo KE ni mwanamke so nyie waKENYA ni wachumba sana kwetu..
Tanzania ni MME wenu[emoji31] [emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hilo halina ubishi na kadri siku zinavyozidi kusonga ndiyo balaa linazidi kuwauwauwa kiukweli NAIROBI ni level ndogo sana kwa kuilinganisha na dar.....kuna vitu vingi sana tumewaacha na hii level ya dar hamtoigusa milele mlipata chance wakati tunapambana vita na ile system ya baba yetu wa taifa J.K.NYERERE ya kuwatimua wazungu wanaoibeba hiyo nairobi mpaka leo ila kwa sasa.......mpumzike tukwa akili zako tano....dar is well planned?
yaani hawa majamaa ni wakizamani sana ...mimi huwa napenda kuwashauri wakenya waendelee kushiriki kwa kushindana mbio za nyika tu[emoji31] [emoji31] [emoji31][emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]yaani hawa majamaa ni wakizamani sana ...mimi huwa napenda kuwashauri wakenya waendelee kushiriki kwa kushindana mbio za nyika tu[emoji31] [emoji31] [emoji31]
unajua maana ya ndogo wewe au inaropoka tu....na haipo moja.......usilete ushamba......hiyo city ni pori japo mnayaficha maeneo mengi sana na mshukukuru sana Photo za Kurepresent City zipo owned by governent so vingi vinafichwa kwenye hizo photo map zenu.....ila la sivyo mngeumbuka sananairobi slums ziko sehemu ndogo sana...
mkituma mapicha za sehemu ndogo mbovu inaonyesha vile mko wapumbavu.
kuna vitu bila shule vinaenda ndiyo maana marich wengi wanaoongoza hii dunia hawapo na elimu kubwa......ila asilimia kubwa ya maskini ndiyo wamesoma wakitegemea kuajiriwa mfano mzuri wewe i think wewe ni so poor n stupid kenyaMko mbele bila fact....
city si maghorofa pekee kaka...rudi shule please
ndiyo ni slum wewe shida yako ni nini sasa.......iache dar i chill kwa upande wake na wewe utulie na upande wako sababu hauna faida kwetu na hata kwenye nchi yako hauna faida bora uishi msituni kama nyani[emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23]most of these dar is slum people are not exposed . ....Just ignore their stupidity
most of these dar is slum people are not exposed . ....Just ignore their stupidity
Achana nae huyo ameridhika kupanga chumba na seburendiyo ni slum wewe shida yako ni nini sasa.......iache dar i chill kwa upande wake na wewe utulie na upande wako sababu hauna faida kwetu na hata kwenye nchi yako hauna faida bora uishi msituni kama nyani[emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23]