Mnamchukia kwa kuwa alikuwa nanawaminya kuwazuilia chakula mkimletea upumbavu wenu wa kislumistmAGU ALIKUWA ANAANGUSHA TZ WEWEEE.... SASA HATA USHIRIKIANO WENU KAMA NCHI NA NCHI ZINGINE ULIKUWA UMEDORORA KWELI...BIASHARA MNGEFANYA NA KINA NANI HIVI
We aren't complaining........tutalipa vizuri sana. Every country in this world has some toll roads/highwaysHUU MRADI UNAITWA PPP..PRIVATE PUBLIC PARTNERSHIP...MIRADI KAMA HII MTAKUJA IFANYA 2050...SAHII BADO NI KIZUNGU MKUTI....nI WAKENYA TUPU WATAKUWA WANAFANYA KAZI HAPO....USHURU TUTAPATA HAPO, SUPPLIERS WATA FAIDIKIA HAPO.NI WAKENYA WATAENDESHEA MAGARI YAO HAPO...BARA BARA IPO KENYA, KENYA INAONEKANA SMART....
wACHENI WIVU WATANZANIA.
Si walisema watu walipe kwa hiari bila kubuguziwa''Task force'' ikiwa kazini kutengeneza mazingira ya ''mirahaba''
kitu mumebakia nao mwaka huu ni mchina expressway 🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo madaraja, sgr, brt, mashule etc sio zenu sababu ni aid? [emoji23] wacha kutumia kichwa kama roundabout ya upepo View attachment 2105867
Si walisema watu walipe kwa hiari bila kubuguziwa
Shhhkitu mumebakia nao mwaka huu ni mchina expressway [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sa unataka kulia?Hiyo barabara ni aibu kwenu mtachekwa africa nzima mchina anakwenda kuikolonaizi kenya ,nashangaa wakenya mnapata wapi moyo wa kuishabikia hiyo barabara[emoji1787][emoji1787]ndiyo maana komora096 sijawai kumuona akiongelea wala kushabikia hiyo barabara ya kulipia mali halali ya mchina
Us modern countries like many other modern countries we have toll roads it's a norm 😊alaf kwann mchina aimiliki kwa miaka 30 kwann nyinyi hamutapita bure bila kumpa fee mchina kwanini ? kwann ajira zote za toll na expressway zitamilikwa na wachina
why ? plz explain 😂😂😂😂
kwa hiyo kwa hiari ina maana kutolipa?Si walisema watu walipe kwa hiari bila kubuguziwa
Ukinunua kitu Na higher purchase unalipa pole pole inamaanisha si chako Tena?Hiyo barabara ni aibu kwenu mtachekwa africa nzima mchina anakwenda kuikolonaizi kenya ,nashangaa wakenya mnapata wapi moyo wa kuishabikia hiyo barabara[emoji1787][emoji1787]ndiyo maana komora096 sijawai kumuona akiongelea wala kushabikia hiyo barabara ya kulipia mali halali ya mchina
Maji ya shingo.Ndo nashangaa na mimi wakati alitamka mwenyewe kuwa ''Task force'' sio nzuri na haifai.
Wajinga wale walimuona jpm mpumbavu sasa chup zinawashuka kwa maneno ya vinywa vyao wenyeweSi walisema watu walipe kwa hiari bila kubuguziwa
Maji ya shingo.
hahahhaha nimekwambia mm hakuna kitu mutapost mwaka huu zaidi ya expressway ya mchina ambayo hakuna mkenya yoyote atapata huduma hio bute kwa miaka 30
mombasa hakuna kitu bro mombasa ilishakufa muda sana 😂😂😂😂
MY TAKE
Price wars zimeanza...! Will heavy losses minting KQ survive?
BTW mbona Air Tanzania haianzishi route ya Dar-Mombasa, Kilimanjaro-Mombasa na Zanzibar-Mombasa?
modern country munakufa na njaa 🤣🤣Us modern countries like many other modern countries we have toll roads it's a norm 😊
Actually, more Kenyans have invested in the road than Chinese. It's a PPP project, hata wewe unaweza ukanunua shares hapo.Ukinunua kitu Na higher purchase unalipa pole pole inamaanisha si chako Tena?