Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

eti holidays...smh.
huna la kunidanganya kaka.nimeishi kenya kwa mda mrefu hivyo nina uhakika na nililo zungumza.

katika kampeni za uchaguzi zilizopita ambazo zilizomuingiza uhuru kenyatta kwa mara ya kwanza katika urais mwaka 2013,nilikuwa nairobi.

siku chache kabla siku ya kupiga kura,nilishuhudia kwa macho yangu taharuki iliyotanda miongoni mwa wakazi wa Nairobi.

baadhi waliikimbia nairobi na kurudi ushago/mashinani kuhofia ghasia.

nilitaka nibaki mpaka siku ya kupiga kura,jamaa zangu ambao ni wakenya walinishauri nirudi tz mpaka uchaguzi upite ndio nirudi kuendelea na shughuli zangu.
 

Hizi zimeandikwa na Magazeti gan ..la kwanza la Kenya la pili la Ug au
 
Bro yani nimejaribu kusoma maelezo yako nimegundua una thinking capacity ndogo sana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
600million kenya vs 6.5 billion in uganda
View attachment 559175
That's one well several wells discovered lately add upto 1.5b...mega oil deposits are also in lamu but there is a dispute of boundary with Somalia... Wajir has natural gas too...but if Kenya improves agriculture it would benefit more people

sent from iPhone 7
 
Kura nliregister ocha inabidi niende nkavote uko msee

sent from iPhone 7
 
Huyu jamaa thinking capacity iko low. Alafu kingereza kinampinga chenga. Ni bora awe anasoma source za kiswahili. Katoa article mbili za kiingereza zinamanisha kitu kilele but in different grammar jamaa kapatwa na mshituko wa ubongo
Bro yani nimejaribu kusoma maelezo yako nimegundua una thinking capacity ndogo sana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…