Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wasenge kweli. Alafu wanajiita wanaume
ila kiukweli yapasa tuwaombee wavuke salama katika wakati huu.tusiwadhihaki.

ni kipindi kigumu sana kwa baadhi ya wakenya.baadhi yao,uchaguzi huwakumbusha makovu ya ghasia za mwaka 2007-8.
 
Tourism yakweli hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sol Campbell is dar since yesterday...courtesy of sportpesa.
 
Tanzania nchi maskini Sana tupwatupwa,just trying to keep up with the super league
 
Tanzania nchi maskini Sana tupwatupwa,just trying to keep up with the super league
tunajua una-comment ukiwa umejificha kwenye nyumba ya kienyeji ushago kwenu baada ya kuikimbia nairobi kuhofia ghasia zinazoweza tokea siku ya kupiga kura au siku ya kutangaza matokeo.

embu ongeza hasira hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona umepatwa na maumivu makali sana
Usisahau investment ya lpg plant in lindi 30 billion$....usisahu tunajenga bomba la gas to uganda rwanda burundi and congo....
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 yani kwa kifupi oil ilioko turkana ni ndogo sana tena sana na usije sema tanzania hakuna oil 😛😛😛😛😛
 
Kwa hoja kama hizo zinazohusu wakenya na ambazo huyaelewi, ni vizuri kuuliza ndipo ujibiwe.
First you should know that Kenyans love holidays like crazy when that little chance comes by they make full use if it.
Secondly, Kenyans would go spend their holidays with their extended families. most Kenyans are in nairobi for work but have a rural home.
The most important part of this is that Kenyans go to ushago where they registered so that they have their chance to vote in his MCA, Governor, Senator, Women Representative, his Member of Parliament and ultimately the president of his choice.
So the travelling doesn't necessarily idicate any form of tension though you won't dismiss the fact that some small percentage could go out of security concerns which is their personal issue....
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
600million kenya vs 6.5 billion in uganda
 
Bomba la mafuta limeleta yafuatayo
1.Pesa zaidi ya Trillion 2.1 kwa mwaka..hizo ni kodi tuu
2..Upanuzi wa Bandari Ya Tanga
3.Ajira zaid ya 10k
4.Biashara ya kupeleka Gas Uganda ,Rwanda na Burundi
5.Congo watajiunga kutumia na wao wakitaka kusafirsha mafuta yao ..that means more money more 12.5usd per barrel
6.Tanzania imetanganza kununua 8% ya hisa kama refinerry itajengwa UG ..that means mafuta yatashuka bei Tz
 


Katika upande mwingine
I think you had a point jana. None of these zinasema kwamba "Tanzania italipwa $12 per barrel" instead all sources zinasema "Uganda italipa $12 per barrel kusafirisha mafuta yake through Tanzania"
Swali langu ni nani huyo atakayelipwa hizo hela? Usikute hiyo ni sum total ya transit fees ambayo mwisho wa siku share ya TZ ni ndogo.
Just wondering out loud.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni Tz analipwa ....hio yote ..according to morning news na hilo gazeti na nilvyoeleweshwa jana mapato ya Tz yatakua ni 12usd per barrel
 
Ni Tz analipwa ....hio yote ..according to morning news na hilo gazeti na nilvyoeleweshwa jana mapato ya Tz yatakua ni 12usd per barrel
Achana na magazeti ya kibongo hamna journalism huku wanareport whatever they hear no research.
Read other credible sources utaona.
Kuna ripoti moja nimesoma jana imeandika "Gharama ya kupitisha mafuta Tanzania ni $12 kwa kila pipa"
Em interpret hiyo sentensi vizuri.
I don't think ina maana kwamba UG itailipa TZ hela zote hizo ila it means total of all transit costs ni $12 per barrel

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Thats wat i knew at first..na ukizngatia barrel ni kama UsD 50 price yake ..ila nlivyouliza huku ..nkwaambiwa ni 12usd per barrel .Tz tunapokea...so lets wait
 
Thats wat i knew at first..na ukizngatia barrel ni kama UsD 50 price yake ..ila nlivyouliza huku ..nkwaambiwa ni 12usd per barrel .Tz tunapokea...so lets wait
I think hii vagueness sio nzuri.
Check these two statements out:
"According to the project report, the 24-inch diameter pipeline will move 216,000 barrels of oil per day at a cost of about Sh1300 ($12.2) per barrel."
AND
"Tanzania will charge Uganda a tariff/transit fee of Shs40,321 ($12.2) for each barrel of oil going through the crude oil pipeline to Tanga port at the Indian Ocean for exportation to the international market."
Do they mean the same thing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…