Hawa jamaa hujisahauits their own words coming to bite their ass kind of situation [emoji28]
Utalii wa Tzn kwa sasa ni moto.Full appreciation all over the World..imagine kaacha pesa ngap hapa ππ
BRT ni system sio barabara tu manzee kama unavyodhania, BRT ni modern system of transportation, yani unapaswa kuheshimu BRT kuliko chochote..Je kua na BRT ndio kunafanya mji uwe bora[emoji1787]
Hivi ni viwango huwezi kuta Kunyaland!ni dar πππ
View attachment 2096105
ToLd you uwache unacho kivuta hujuskia
Tuliambiwa wanafungua 27/12/2021 kulikoni?ni dar πππ
View attachment 2096105
Mambo ya kuita vijiji eti city ni za kwenu, yaani kwetu miji iko na standards with class zaidi ya Mwanza na bado sio city.., haujielewi wewe unaropokwa tu π π π π πUnanifurahisha sana πππ, kwenu uko mji ukiwa na interchange qualifies City status ππ let's take Kisumu for example kuna nini chaajabu Kisumu kale ka shipping center hadi muite City πππ uku bongo ukiona mji unaitwa City means uko na population kubwa, uzalishaji mkubwa na kiwango flani cha utajiri, kwenu uko mji kuitwa City ni interchange na vi appointment πππ
...yaani it is in a village shopping centre, which has standard shopping malls na hatuwezi kuitaja eti ni city kama nyie washamba, mji ukiwa na vigorofa vichache hivi eti ni city π π π πWhat is an interchange in comparison to a 6 lanes 3.2 km bridge?
Na inachapa kazi more efficiently, with class and status than your rickety BRT, hapo vipi π π π π π πThe mtumbaz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
a city is just more than population. like the case with tanganyika.Unanifurahisha sana πππ, kwenu uko mji ukiwa na interchange qualifies City status ππ let's take Kisumu for example kuna nini chaajabu Kisumu kale ka shipping center hadi muite City πππ uku bongo ukiona mji unaitwa City means uko na population kubwa, uzalishaji mkubwa na kiwango flani cha utajiri, kwenu uko mji kuitwa City ni interchange na vi appointment πππ
na sq km pia yenye imejaa uswazi π π π πa city us just more than population. like the case with tanganyika.
huku kenya, tuna zingatia sana muundo msingi!. roads, piped water, electricity connections, refuse and waste water management, na facilities zingine ka int'l airports, refferal hospital, industries, universities, mega shopping malls, conventional centres, real estates and so on... tz ni population population tu!. ata kama umaskini na kuishi hoi inakidhiri