Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In Tanzania most village towns that u call cities hapa Kenya ni towns tu na centers za biashara.., mko na low standards kilaza., elewa hivyo, una swali? divorce emotions from your arguments too πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Unanifurahisha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwenu uko mji ukiwa na interchange qualifies City status πŸ˜‚πŸ˜‚ let's take Kisumu for example kuna nini chaajabu Kisumu kale ka shipping center hadi muite City πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uku bongo ukiona mji unaitwa City means uko na population kubwa, uzalishaji mkubwa na kiwango flani cha utajiri, kwenu uko mji kuitwa City ni interchange na vi appointment πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wewe umeona nini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hiyo ni SGR.? πŸ˜‚πŸ˜‚yani bila aibu unaleta tako lako unalinganisha MGR yenu ambayo ni less than 30km long na SGR yetu which is 1590km.? the longest SGR in Africa..? kisa hizo behewa used 30 years ago in Spain.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Then *** you
 
The mtumbaz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwisha habari yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna report niliona mwaka Jana mwishoni, Hawa SS tunawauzia sana ila sisi hatununui kitu kwao.[emoji23][emoji23][emoji23]

SOUTH SUDAN
Export: $3.4M
Import: $0

Kuna nchi nyingine hapa EA inaenda kuwa kama SS.
 
Sijui vile viwanja na majumba yao yameenda wapi tena mpka wauziwe units tena kw bei "nafuu" km zinavyopigia debe kwenye advert[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Majamaa mbona hii GDP tunaifanya km hela zipo katika account benki
 
Kazi nzuri kwa Maendeleo ya EA.Ila sasa Wakenya mnatia aibu Sana yaani hadi kabarabara kafupi hako mpaka mtembeze bakuli la msaada? 😁😁.

Sasa GDP kubwa huwa inatumika wapi? πŸ‘‡





 
Sijui vile viwanja na majumba yao yameenda wapi tena mpka wauziwe units tena kw bei "nafuu" km zinavyopigia debe kwenye advert[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
its their own words coming to bite their ass kind of situation πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…