Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Twende kazi
Rais @KagutaMuseveni akipokelewa na Makamu wa Rais @SuluhuSamia kwa ajili ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi

DGZPDD0WAAEiszp.jpg

DGZPEj8XYAAaCfl.jpg

DGZPFlaXUAALByp.jpg

DGZPGvfWsAAFAzB.jpg
 
Hayo majengo ni ya kwenu Kwan? Binadam bwana!!!!! Mnaweza kupoteza muda kubishana wakat jengo lako halipo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Madam uwezo wako wa kuelewa mambo hautoshani na huu Uzi.

BTW, huu Uzi umeona una Replies na Viewers wangapi hadi sasa?
Umekurupuka mama, ni bora urudi kwenye majukwaa ya mapenzi na mahusiano, huku umeingia choo cha Kiume.
 
Twende kazi
Rais @KagutaMuseveni akipokelewa na Makamu wa Rais @SuluhuSamia kwa ajili ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi

DGZPDD0WAAEiszp.jpg

DGZPEj8XYAAaCfl.jpg

DGZPFlaXUAALByp.jpg

DGZPGvfWsAAFAzB.jpg
Wakati Marais wengine kama Mkikuyu UK wanapanda ndege kwenda ulaya Kupiga selfie na Kina trump na kushare Instagram ili kupata Likes nyingi zaidi, Museven na JPM hawana muda wa kwenda ulaya badala yake museveni unasafiri kukutana na Rais mchapakazi JPM kuzindua mradi wa mabilioni ambao nchi Kama Kenya haijawahi shuhudia FDI kubwa namna hii tangu kuumbwa kwake..
Huu mradi utatengeneza Ajira za Kumwaga kwa Vijana wetu, Utafufua Bandari ya Tanga, utatransform business atmosphere ya Tanga completely, na kubadili kabisa mwelekeo wa uchumi Wa Uganda.
Hapo ukiongeza na Ile East Africa's Largest Cement Factory naona Tanga inaipiku Mombasa mazima.
Ni Bahati Kuzaliwa Tanzania.
 
Madam uwezo wako wa kuelewa mambo hautoshani na huu Uzi.

BTW, huu Uzi umeona una Replies na Viewers wangapi hadi sasa?
Umekurupuka mama, ni bora urudi kwenye majukwaa ya mapenzi na mahusiano, huku umeingia choo cha Kiume.

Wakati Marais wengine kama Mkikuyu UK wanapanda ndege kwenda ulaya Kupiga selfie na Kina trump na kushare Instagram ili kupata Likes nyingi zaidi, Museven na JPM hawana muda wa kwenda ulaya badala yake museveni unasafiri kukutana na Rais mchapakazi JPM kuzindua mradi wa mabilioni ambao nchi Kama Kenya haijawahi shuhudia FDI kubwa namna hii tangu kuumbwa kwake..
Huu mradi utatengeneza Ajira za Kumwaga kwa Vijana wetu, Utafufua Bandari ya Tanga, utatransform business atmosphere ya Tanga completely, na kubadili kabisa mwelekeo wa uchumi Wa Uganda.
Hapo ukiongeza na Ile East Africa's Largest Cement Factory naona Tanga inaipiku Mombasa mazima.
Ni Bahati Kuzaliwa Tanzania.
 
August 4th.
happy international beer day.
leo ni siku ya maalum ya kimataifa ya "gambe".
a3ddb60034a88f3157176000354363bb.jpg
8e1cb1f7d42f774635d321085633adec.jpg
b7fc424de83bad80719541adba1666ef.jpg
fc580f9825115151cf2f2d89c3843a2f.jpg
c55cd2384b09dc5c62fc6e28c120ab06.jpg
0f0bbc86988d6bf3b7854bd4c084b423.jpg
291c97dbf3deeedf2f2cc0cebfe0761c.jpg
5d99bd3cc3b64e431b8d4c7f22515dea.jpg
2c087ac2bf478da1ca75637d65136bcd.jpg
535e8cf8b4774319c91c1dcca7c398cf.jpg
d8a90a065a3c99e0f35072175961527f.jpg
353a314ae319cb599071aba38e66d242.jpg
b26a544f8bb3202abe5801b1aa8ebd89.jpg
894b34eb2ece5cb1c406adb392e774af.jpg
2aeee19a27a87a54ded0d8968e04512c.jpg
adc2927223df550cd93475989a5cf1f3.jpg
13f8ba2119a98576db9c2482c4cb6472.jpg

I like how you console yourselves. ...lol.EABL ndio kampuni ya pombe hapa East Africa.....hizo zenu maybe zishindane na keroche breweries
 
Back
Top Bottom