Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na Campus ya Mloganzila?
 
hapa kuna picha imenijia, hao OIA watajiondoa bagamoyo port na kuelekeza mzigo Malindi Port ya Zanzibar, ndo mana hadi Rais wa Zanzibar kaenda huko..

Aah hawawezi na hata kama wakijiondoa hawawez kuwekeza mzigo mkubwa kama walivyokua wamepanga kwa bagamoyo
 
Wakunya tafuteni plan B kwani plan A mmeshindwa ktk Project ya Lapsset
 
Wakunya hii sio render na wala hapa sio China bali ni nchi moja tajiri zaidi East and Central Africa imeamua kuwekeza kwenye new technology [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…