That was not the point, na ujue pia Kenya imewekeza kwa wind, solar na geothermal.., ila kabla ya kufanya haya kwa Tz na Kenya, still u were below in fuel consumption.., pia ikija kwa umeme ni vile vile, mko chini ukilinganisha so nothing to yap about here 😂 😂 , anyway pongezi kwa maendeleo ya gesi, hope it boost your economy👍👏👏Muhimu ni kwamba, wakati Kenya mnatumia kigezo cha utumiaji wa mafuta mengi kuwa ni "positive" na inaonekana mnazidi kuongeza matumizi ya mafuta, sisi tunatazama "opposite" kabisa na ninyi, ndio sababu tuaongeza uzalishaji wa umeme na gesi, tunabadili matumizi ya mafuta katika maeneo mengi na tuna "replace"umeme na gas.
Mitambo mingi ya kuzalisha umeme ambayo awali ilikua ikitumia mafuta, Sasa inatumia gas, viwanda vingi ambavyo awali vilikua vinatumia mafuta, ikiwemo migodi ya madini, Sasa hivi vinatumia gas au umeme.
Another empty rhetoric as usual 😂 😂 😂 😂 😂 ., hadithi za vijiweni nimezizoea kutoka kwako 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., sawa nimesikiza hadithi as I sip kahawa tungu na njugu karanga, na relax uki ni entertain 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
😂😂😂😂 Dah .!Sisi ni nyang'au hilo usisahau, lazima tutawanyang'anya biashara kadhaa.., watch, na usilie wao si Tz, we rule Eastern Africa 😂 😂 😂 😂 😂 😂
kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake,hivyo mjinga siku zote anaachwa na ujinga wake maana hata ukimpa werevu hawezi eremika,Sasa ujinga yangu inakusaidia nini, wewe si uwekee uerevu wako tuone then [emoji706]
U rule Eastern Africa kwa njaa!Sisi ni nyang'au hilo usisahau, lazima tutawanyang'anya biashara kadhaa.., watch, na usilie wao si Tz, we rule Eastern Africa 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Why are you so angry sir?U rule Eastern Africa kwa njaa!
reminded u on what exactly Kenya leads in Eastern and central Africa! NJAA...Why are you so angry sir?
Is that enough to make you so angry? 😂reminded u on what exactly Kenya leads in Eastern and central Africa! NJAA...
Kwani ulichoambiwa ni uongo kijana.? 👇😂😂😂 Hapa ndio mnatuongozea EAIs that enough to make you so angry? 😂
Yani cameroon imenishangaza kweli walivyopiga hatua kwenye iyo sekta vIwanja vyao vinapendeza, serikali inahitajika ijenge viwil tu vikubwa kimojaa dodoma na kingine mwanza au arrusha au zanzibar kwaajili ya kupromote utalii maeneo hayo alfu hivyo vingine vi karabatiwe tutakua tumepiga hatua kwel kwelsuala kama hili, Tanzania tunakwama wapi kujenga viwanja vipya 3 ?
ujue sionagi ugumu Tanzania kuwa na viwanja vya kisasa vya mpira wa miguu angalau vinne kama cha Mkapa stadium
Hawa Ndio wawekezaji sio kama wale wenzetu sijui wa tatu city mara konza city, huu ni mwanzo tu tz kwenye miaka 15 ijayo itakua kitovu cha utalii africa$500 mln worth of investment in Zanzibar
Tushaanza kuwauzia ngano , mda sio mrefu tutaanza kuwauzia sukari pia
Yani ni ujinga waliofanya yani hawa jamaa kitu kitakacho wasevu labda wajenge SGR mpaka mpakani na ithiopia ila bandari tuu ya lamu ni kazi bure kwa sababu we fikiria gharama za kusafirisha kwa reli haiwezi kuwa sawa na kusafirisha kwa malori na kinginee wachina wanampango wakulink SGR ya ithiopia na bandari ya Djibouti kwaiyo yajayoo yanafurahisha😂😂Ila hawa wakenya wanaakili za kipumbavu sana.. iko hiv, kusafirisha mizigo kutoka Ethiopia mpaka Djibouti zamani walitumia malory lakini ili kurahisisha zaidi jamaa wakatengeneza reli ili mizigo ya Ethiopia iingizwe Djibouti then isafirishwe kwa reli kuelekea Ethiopia.. 👇. Ajabu eti wakenya wanataka wawe wanapokea na kuingiza mizigo ya Ethiopia kwa aslimia kubwa kuliko nchi yoyote EA 😂😂😂 kupitia mradi wa Lamu port, bila miundombinu wezeshi yoyote.. 😂😂 huu ni uchizi na kuna matahira tukiyaambia huu mradi ni white elephant yanabisha kwa kelele kama hizi 👇
😂😂😂😂 Dah .!
😂😂😂 Jamaa ni kama wamekatwa vichwaYani ni ujinga waliofanya yani hawa jamaa kitu kitakacho wasevu labda wajenge SGR mpaka mpakani na ithiopia ila bandari tuu ya lamu ni kazi bure kwa sababu we fikiria gharama za kusafirisha kwa reli haiwezi kuwa sawa na kusafirisha kwa malori na kinginee wachina wanampango wakulink SGR ya ithiopia na bandari ya Djibouti kwaiyo yajayoo yanafurahisha😂😂