joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Wewe huna akili, kinachoangaliwa ni "Purchasing power" ya currency sio thamani yake, hebu angalia thamani ya pesa ya Marekani vs China, wapi maisha ni rahisi na Bora kuishi?ni mboga sana. alafu the highest denomination ni Tsh 10,000 (ksh400 only!...) hawa watu wako na shida aky
Yaani wewe ni kama unazama kwenye dimbwi la tope, kadri unavyofurukuta ndio unajirahisishia kuzama haraka. Bora utulie uje kuokolewa acha ujuaji dogopersonal detail sipendi kuoneshana, lakini mumeni skuma hadi ukingoni, hadi nimefanya mambo ambayo haikua necessary
Huna lolote wewe mwanafunzi wa veta una safari ndefu sana kufikia uingineer
valid till Dec2025. matawkow hiiHata hiyo card umeokota, huoni ishaexpire 🤣🤣🤣
Inakaa hapa ndo palipomlegeza TanashaVile wasanii ambao hawana hata shule kichwani wanavyotengeneza pesa mingi Tz baadhi ya picha za Diamond Platnumz akiweka mitonyo benki👇.. dyfre njoo hapa ujifunze vile unafaa kufanya uki claim kuwa uko na pesa
View attachment 2088707
hio tunaita kelele za churaUmeona mlango wa Darasa ulipowekwa?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni wa kubeba na kubandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2088798
hela za mikopo zinakusumbua...!valid till Dec2025. matawkow hii View attachment 2088799
hoyeee..., kama mie!Katika watu hapa wenye mapenzi makubwa kwa Kenya Mimi ni mmoja wao, tatizo hamjanielewa vizuri. Kenya hoyeeeee.
sasa unadhani Tanasha angemvulia vp chupi?Hapa Diamond alizingua sana, ina maana ameshindwa kuajiri personal accountant hata part time? ndio maana wasanii wabongo wakifulia wanakufa kimbuzi
Hahahaha, wewe si miongoni mwetu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji15]kama mie!
Mkenya ni MTU wa ajabu Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nataka u mark leo. 19/01/2022. niko na ksh491,201/- ikiwa side hustle tu!. bila kuongeza salo. nataka niku ng'arie, ndio ujue maana civil engineer wa serkali ya kenya ni mtu wa aina gani.
nb: i ll be updating you every 19th of every month till december... sawa👍🏽!
utajua sisi wa kenyareé ni kina nani. watu wa per capita kubwa
matters engineering, taking contractors for a short course. a 3day seminar for invited contractors (grade 8 and above)
State Department Of Public Works View attachment 2088691View attachment 2088688
nimegundua watanzania ni watu wenye uwivu sana, hasa kwetu sisi wanakenya ikianza na mrh magaful. u must realize tht we are living on two totaly different economic boundaries,..hela za mikopo zinakusumbua...!
Wadanganyika wanafananisha pesa za mkenya member wa jamii forums na pesa za msanii wa kwao mkubwa diamond platnumz. KENYA LANES!ni mboga sana. alafu the highest denomination ni Tsh 10,000 (ksh400 only!...) hawa watu wako na shida aky
They're making a fuss over a single rich guy in Tanzania. People are useless - even the poorest country in the world has rich people. These people are beyond help.🚮🚮Wadanganyika wanafananisha pesa za mkenya member wa jamii forums na pesa za msanii wa kwao mkubwa diamond platnumz. KENYA LANES!