Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hii hoja isiwe bonge la party humu.. nipe mmda kiaci niwape vitu real basi. nikatize karamu humu.
ile ilikua nikule hali ya kuomba dua
dyfre huwa unanichekesha sn kiswahili chako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maisha wanayotamani wakunya na hawataweza kuwa nayo, labda foreigners na wanasiasa wachache ila co hawa vidampa wa humu jamii forums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maisha ya kawaida hayo mzee
 
dyfre huwa unanichekesha sn kiswahili chako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kiswahili changu kimefanya nini jameni? utanifunza kiswahili gani ww. skuli nilienda
 
Ndiko wanakoshinda kusaka utajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uhuru failed these people big time kichizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kw freemason kuna nchi ukanda huu inayoizidi tanzania mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…