Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sehemu moja tu jangwani ndo kunakuaga na tatizo coz ni bonde lile..sasa project ya Dar metropolitan city under WB itamaliza kabsa matatizo hayo ..
na jangwani penyewe sababu pale kuna mto likini ukienda nairobi kwa wazee wa infrastructure ni shida hadii juu ya vipisi vya fly over[emoji23] [emoji24]
 
wanjala nimewasalimia tu jamani wakenya wenzangu yaani hata kujibu salam umeshindwa[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji15] [emoji15]
 
Unashangaa vipanya nyangau wanampaka Chai maharage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanjala picha zile zile. Its real boring. Yani ina bore. YouTube unatuletea hospitali wakati huko tulitoka zamani. Nataka twende kwenye casinos.
 
Tuleteeni casinos kutoka Kenya sijawahi hona hata moja kutoka Kenya humu. Jiji bila casino sio jiji.
 
mlianza kuvizia vizia mkileta picha za nje ya dar... ziwekeni tu. tumewapatia ruhusa. ila sisi tutakaa kando. mukishamaliza tutarudi.
Alienza nani???? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dar sio level yenu hii sio ile dar ya 90s πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…