Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

True......this vehicle kumbe inatangatanga hapa kanairo
 
Hakuna kitu unajua hapa, hio kibali ikiisha you can renew for another 2 weeks, 1 month ama 3 months KRA, form C32 na Comesa and your good to go, tuulize sisi tukona magari kenya na tz
 

Bora Umesema.
 
Uwongo eti pesa za ndani 🤣🤣🤣🤣🤣 every body now know Huo ni upuzi mtupu your debt files have started to emerge nikama vile mlivyo sema tanzanite Ni pesa za ndani eti Hera zetu 🤣🤣🤣🤣 kumbe pesa za kukopa pia
 
kumekucha alaf oneni majengo yao ya udongo sasa😂😂😂😂
Ignorance Ni mbaya hehe tembea Wacha kukaa TU huko kwenyu bila kuget exposed there are different building materials Huo si udongo but a type of interlocking bricks that most Kenyan who are far from stone mining areas use to build Teyvare different types but most have that colour so jitoe ushamba eti ghorofa za udongo we uliskia wapi?
 
Kuna siku ninewambia hapa, kenya ukiona foreign number plate hata km ni SSD usishtuke mzee hyo ni ya mkenya..

Lkn ile siku utaenda nje ya kenya hapa EA ukute gari ambalo plates zake ni za kenya basi hilo gari 90% litakua ni la mkenya

Our neighbour baba yao alikua akifanya kazi namibia nadhan mpka sai yuko hko ju nimetoka kitambo sana upande ule wa kwetu..jamaa magari yake yote plates ni za Namibia, funny thing alikua akija na gari kutoka hko mpka mombasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkenya kwake, usipojua kiingereza means haujasoma [emoji23][emoji23][emoji23] wazungu mazuzu wapo kibao na kiingereza ni lugha yao ya taifa. wacha kuwa mpuuzi wewe..
Kenya itakua hujasoma, manake mtaala wetu tayari ndio alafu uje ushindwe hata kukijua jua kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…