Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huko YouTube hakuna hata vloger mmoja wa tz aliwahi kufanya comparison na hawa watu hata kwa bahati mbaya, ila wao sasa 😂😂😂 wanahaingikia kutu underrate kinoma kila kona, haitoshi hadi vitu vyetu wanaitangazia dunia kwamba ni vipo kwao
 
😂😂😂😂😂 Vimashindano havina hata wafuatiliaji.. heb Angalia vyenye Benjamin Mkapa stadium Ina host international matches .. Alahly vs Simba 👇 . Vimechezo vya riaza hivyo ni bure kabisa.. kitu football bhana ndio mchezo wenye wafuatiaji wengi zaidi duniani na hata the main purpose ya like yours ni kwaajili ya football matches
 

You are Just Ignorant just as your fellow Kunyans,
Brazil with players like Kaka played there,
Rooney with Everton played there
We hosted Afcon U20
We hosted Afcon amputees 2021
Ooh you can also watch the Video Simba Vs Sevila hapo kwa mkapa

Plus countless continental football matches happening there every month, as you know our League is among the best leagues in the continent


Then tell me kati ya Kaka na Rooney Vs those worthless names you mentioned who is who
 

Au tumpe na hii aone soka la Giants of East Africa

 
kama uraibu wenu ni soka hio ni nyinyi, sisi ni riadha, wamerikani ni basketball, India ni cricket, Australia ni rugby. kila nyani aone kundu lake
 
kama uraibu wenu ni soka hio ni nyinyi, sisi ni riadha, wamerikani ni basketball, India ni cricket, Australia ni rugby. kila nyani aone kundu lake

Hahahah, you lost it ,
Those are very few international matches that happened in Ben mkapa stadium,
Na nyingine za CAF Confédération Cup zinaanza Feb,
Just follow up and see the Vibe,
let’s go back to the topic of the stadium
This filthy thing is damn ugly, poor and a typical third world thing,
I wonder this is the best you have,
And you keep comparing yourselves to the South Africans when they have countless modern stadia, and you have none [emoji3][emoji3]
Angalia uwanja wa SA umejengwa 1888


Vs Msalani stadium the home of Shit built 1980s


 
Jomo Kenyatta international Stadium in Kisumu
Super ultramodern mega multibillion most developed stadium in East Africa
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kunyans never cease to Amaze for sure,


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…