hizi picha nilishawahi kuzi-post hapa a few days ago.nimeamua kuzi-repost baada ya wanjala kutuma picha zake za masai mara.kaduda... umeamua mbaya mbaya... hizi picha ni nzuri kuliko zile za matoke na omenà


safi aganza ngoja leo nikupe hiiNothing can beat Tanzania when it comes to the issue of safari
acha wivu....tulishawapa go ahead ya kutuma picha za miji yote ya kenya vs dar aka the giant.hizo zote amehara hapo hakuna dar hata moja so amekuwa disqualifide read the thread title

Hi! Luse ,colomz amekimbilia WAP?safi aganza ngoja leo nikupe hii
haha.. si unajua. mi nataka niku lay
collo kalala...kazunguka kutwa mzima mitaa ya cbd na bahasha mkononi akisaka job bila matokeo.he must be very tired.Hi! Luse ,colomz amekimbilia WAP?

wivu ya nini??? badala mutume infrastructure, munatuma milima na mabonde... estates na apartments, munatuma omena na mutura.... sasa munataka nini exactly???acha wivu....tulishawapa go ahead ya kutuma picha za miji yote ya kenya vs dar aka the giant.![]()
collo kalala...kazunguka kutwa mzima mitaa ya cbd na bahasha mkononi akisaka job bila matokeo.he must be very tired.![]()

sa unatakaje? we ni kaka yake?ujue tumekushtukia ujue wewe unajipdndekeza kwa aganzs
Kiswahili cha mwendokasiwivu ya nini??? badala mutume infrastruture, munatuma milima na mabonde... estates na apartments, munatuma omena na mutura.... sasa munataka nini exactly???

wivu ya nini??? badala mutume infrastruture, munatuma milima na mabonde... estates na apartments, munatuma omena na mutura.... sasa munataka nini exactly???
Tanga LDC babyView attachment 556683
Kiswahili cha mwendokasi![]()
![]()
Wivu ya nini=wivu wa nini
Mutume=mtume
Munataka=mnataka
Kweli wakenya wa pwani mnajua kiswahili![]()
![]()
![]()
![]()

collo maisha magumu kashapagawa na nairobi yake.......Hi! Luse ,colomz amekimbilia WAP?
collo kalala...kazunguka kutwa mzima mitaa ya cbd na bahasha mkononi akisaka job bila matokeo.he must be very tired.![]()
dah leo umenivunja mbavu mpaka basi COLLO kazurura sana na bahasha pale city garden park yo upper hill na bahasha zake mixer tai na suti jioni ikifika anakbilia kibera area