Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutii ujinga? Fala hata hajui maaana ya Parallel lakini kamekazana as he is the inventor of the word.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo hizi za juu ndio hazikutani na road nyingine? Hivi unaelewa maana ya parallel?
 
Bibie acha fujo... Kaa Kwa kutulia..

Haya mambo huwezi kuyaelewa Kwa urahisi kama hivi unavyotaka. PM kuongea ni jambo moja na pia Kuna miradi mingi ambayo inatakiwa kwenda sambamba na hii reli.

Ila ukiweza kunionesha mahali mkandarasi alisema reli itakuwa complete hiyo 2019 au any date before this year nioneshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is nothing parallel hapo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Thika road is the 8lane road with few and shot service roads parallel to it hata ulie hautabadili hilo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nitajie road ambayo hai intersect na road nyinginep, popote duniani.
Kuna njia nyingi sana za kutengeneza itersection kati ya barabara mbili ambazo ziko parallel bila hzo barabara kuingiliana mzee..eti moja itoke ije intersect alafu irudi vile vile..
Hyo ni big no.ukiona road ya hvo hyo haiwezi kuitwa parallel
[emoji116][emoji116][emoji116]

JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuona mwenyewe few and short service roads parallel to thika road wala haziendi mbali, zimetokea kimtindo zen zikaacha 8lane road pekeake [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwhyo Majaliwa alikurupuka sio

JamiiForums mobile app
 
Onesha na mwisho wa hizo roads mbuzi wewe.
 
Thika road is the 8lane road with few and shot service roads parallel to it hata ulie hautabadili hilo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 2078427
Says a person who doesn`t know the meaning of parallel🤣🤣🤣




Thika Road (commonly known as the Thika Superhighway) is an 8-lane controlled-access highway in Kenya, with 12 lanes in some sections. It links the capital city of Nairobi with the industrial town of Thika. The Thika Road forms 50 km of the A2 Highway, which is part of the Cape to Cairo Road. In Kenya, it links Namanga at the Tanzania-Kenya border to the Kenya-Ethiopia border town of Moyale.
 
Kajilipua [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kajilipua [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona unajifanya hujaona place imeandikwa 12 lanes in some sections🤣🤣🤣

Thika Road (commonly known as the Thika Superhighway) is an 8-lane controlled-access highway in Kenya, with 12 lanes in some sections. It links the capital city of Nairobi with the industrial town of Thika. The Thika Road forms 50 km of the A2 Highway, which is part of the Cape to Cairo Road. In Kenya, it links Namanga at the Tanzania-Kenya border to the Kenya-Ethiopia border town of Moyale.
 
Dada komora096 mtu kajiripua huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
In some section ndio hiyo mnahesabu service roads kama cc tuseme Kimara-Kibaha modern highway ni twelve lane road [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
In some section ndio hiyo mnahesabu service roads kama cc tuseme Kimara-Kibaha modern highway ni twelve lane road [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2078435
Ebu count hizo 12 tuone🤣🤣🤣. Naona hesabu pia imekuwa shida kwako😂🤣
 
Naona ss ushaelewa, najua nyie ni wazee wa history [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2078402View attachment 2078403
From their own sources 😂😂😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…