Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii flyover imejengwa kwa viwango vya developed countries , kwa Africa ni South Africa au Egypt Ndio level moja
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ nchi ya GDP
So cha ajabu ni nini hapo?πŸ˜‚πŸ˜‚, a mere technical hitch tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mbona uko desperate hivyo, does it change a thing or does it make Tz with few connected to the grid now better with a bigger GDP?πŸ€”πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Nakwambia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. These lazy bones will celebrate anything
 
Hii nyumbu yenu inatoa horsepower ngapi and at how many rpm?
 
Bongo ukijaribu protest kama hii, unaweza pigwa kama mbwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wacha kujifanya mko na democracy kijana, juzi Erico alivyoongoza maandamano juu ya upango wake wa play Kenyan music 70% pale bungeni si alipigwa nusu avunjwe mkono.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wacha kujifanya mko na democracy kijana, juzi Erico alivyoongoza maandamano juu ya upango wake wa play Kenyan music 70% pale bungeni si alipigwa nusu avunjwe mkono.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama alipigwa angekua na injuries, have you seen him nursing any injuries? Plus anaplan kuendelea na hizo demo. Hapo bongo hata kujoke kuhusu rais kwa mtandao si utafinywa makende. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kutaka kulinganisha barabara yenye Iko U/C na iliyokamilika sio fea .. subiri Kimara kibaha high way iishe ujionee, high way yenye iko multipurpose. BRT lanes n.k
lakini tayari ile mkondo ambayo kimara/kibaha inachukua niwazi kwamba sio tishio, haina makali ata kwa kukamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…