Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani makampuni duniani hayakufungwa au hujui hata kwann diesel na petrol kwann zilishuka bei vibaya sana??😂😂😂
So makampuni za kutengeneza equipment meant for Tanzania pekee ndio zilifungwa?😂😂😂 Mbona nchi zingine ujenzi ulikuwa unaendelea tu vizuri?
 
Huwa ukiambiwa ukweli unasema ni povu😂😂
ukweli wakat reli inaeleke mwanza 1200km ww unaongelea mambo ya ukweli gani??🤣🤣 nyinyi ile reli ya miaka 100 iliopita imegeuka kua white elephant au nadanganya
 
So makampuni za kutengeneza equipment meant for Tanzania pekee ndio zilifungwa?😂😂😂 Mbona nchi zingine ujenzi ulikuwa unaendelea tu vizuri?
sio tanzania hata nyinyi muliathirika kwa namna yoyote na dunia nzima 😂😂 unatafuta kisingizio cha kutokea hapa hutoki
 
Kwani Tanzania kulikuwa na covid?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu hiyo mvua kwani inanyesha tu Tanzania pekee?
1)Five international stadia
2)Laptop per child
3)Five big water dams
4) Galana kulalu project
5)SGR to Kampala and Kigali
6)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulitaka tuingie mkataba wa kipuuzi kama ule wa SGR Kenya?
 
Kwani Tanzania kulikuwa na covid?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu hiyo mvua kwani inanyesha tu Tanzania pekee?
Unataka kusema huko wanakotengeneza train hakukuwa na covid iliyosababisha delay kwenye delivery ama?
 
Are these tweets talking about Tanzania?[emoji23][emoji23]
Kwahiyo Kama bidhaa zetu na mazao yetu hakuna soko ya kuuza kwasababu nchi zimejifungia ndani, Tanzania haiwezi kuathirika kiuchumi hata Kama hakuna Corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…