Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma ring road wafanyakazi 80% wamepunguzwa kazi na mradi upo 5%

Huyu mama ni pigo zaidi ya kifo cha JPM kwa maendeleo ya hili taifa, yupo Pemba kwenye taarab
 
Nyie hamjaanza kujenga na hamtawahi kujenga. Yenu ilikuwa ni hadithi za Abunuasi tu.
Ni bora tusijenge hata miaka 20 ijayo kama maslahi ya nchi hayatazingatiwa ..Ni bora uliwe for the sake of kuonekana unazalisha gas na mwanachi hafaidiki..au ukae miaka 20 unatafuta maslahi mazuri yatayonufaisha NChi?

We still have alot of unataped potenital without using that gas

Agriculture tu hatujai exploit fully
Hatujaanza Kuchimba na kuprocess Iron yetu
Ndo kwanza tumesign mikataba ya Graphite
Manufcturing yetu hatujaitumia vya kutosha
Fishing bado
Tourism bado hatujafika hata 5bn usd kwa mwaka in revenues
 
Unawaambia Wakunya hivi hawakuelewi ndio maana kila siku nasema elimu yao ni the shittiest, uelewa wao kimo cha funza na negotiations ni kitu kilichowapita kushoto sana.
 
Ndugai siyo mpiganaji, ila sijui ni nini kinaendelea huko ndani CCM, inaonekana kumepasuka hasa.
Hilo toka JPM afariki, lakini sasa wameamua kuyatoa nje kabisa maana yake kumeoza zaidi!

2025 patatokea kubwa kuliko la 2015
 
Bado Kenya inakumbwa na madeni, njaa, ugaidi, unemployment, terrorism na hakuna unafuu wowote unaoletwa na mikutano hiyo zaidi ya kupiga picha [emoji23][emoji23]
Kenya inajivunia kuongea na Marais watatu wa marekani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚




Unaweza kufikiri walikua wanaongea vya maana kumbe ni namna ya kukabiliana na njaa Kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Kenya inajivunia kuongea na Marais watatu wa marekani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2075465


Unaweza kufikiri walikua wanaongea vya maana kumbe ni namna ya kukabiliana na njaa Kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Money meant for Kenya but spending in Tanzania because of lazy hunger stricken bones



 
Watanzania ni matajiri Wakunya tueleweni jamani msikaze fuvu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

This is for private consumption sio business retailing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…