Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unahesabu nzuri umewaza vyema,mito inatupa mlo madaraja ni gharama kujenga...hatuna option ya kutokujenga hayo madaraja
 
Kwani haya yamejengwa mwaka gani? Mbona yanaonekana kama miaka ya 1600 huko.
Tanzania hakuna such, mko porini bado., ngoja 25 years kisha uje tujadiliane mambo kama haya, kwa sasa haupati picha, ufukara wa mawazo na hali umekupofusha 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Splendid..there many more,uhunye has actually surprised me.
 
Kuna Wabongo fulani huku ambao wamezoea tabia ya kusema kwamba Gdp ni ya kwenye makaratasi. Maanake ni kwamba IMF na World Bank ni Wajinga wakisema Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda South Africa. Kwamba wengi wenu hamuamini kwamba Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda South Africa. Kwanza uchumi wa Lagos city pekee inatoshana na uchumi wa Kenya. Hebu tazama projects 20 za Nigeria ambazo zitakamilika mwaka huu. Hawa wanaija msiwadharau sana, huwa mnasema kwamba uchumi wao ni wa mafuta pekee lakini sivyo.


 
Zingatia purchasing power parity. Ikiwa bei ya vyakula ni nafuu huko kwenu basi mnaweza kukula na kusaza. Ikiwa bei ya vyakula ni ghali huku basi chakula kinapatikana ila kwa bei ya juu kushinda kwenu lakini bado tunakula na kushiba, sio kweli kwamba tunakufa njaa, hio ni propaganda yenu tu.
 
In Tanzania, only 2.7M customers are connected to electricity while huku Kenya we have already passed 8M. Hiyo ni kazi ya GDP 😂😂

 
That golf club at some point Will have to go,in the near future.
I wonder who is the fool who decided to put a golf club in the middle of Nairobi Cbd. They are taking up space for nothing. Absolute imbeciles. That is prime land. They should take their golf course somewhere else.
 
Dar es Salaam, the East Africa’s Largest, Developed, Modern, Clean, bold, neat, authentic, organized and safe,
other towns like Nairobi and Juba are enriched with slums, hunger, poverty, thieves, terrorism, chaos and garbage.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…