Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umetoka kw mjomba, acha maneno mengi hapa

JamiiForums mobile app
 
Sure mkuu, mchina now ndio mlezi wa kenya
 
๐Ÿ˜€ Acha makasiriko jirani, kula ubwabwa wa mchina kwanza halafu ndio tudiscus haya mambo
 
Sure mkuu maana wameona hawa jamaa tukiwapa pesa bado watakufa njaa kwa sababu hawajui waitumieje
 
Hahaha. Hii ya Kenya kuwa na Gdp kubwa kuwashinda huwa inawauma kabisa. Huwa mnatokwa na povu vilivyo ila ndio ukweli mchungu huo, muumeze muuteme chaguo ni lenu.
Be honest jirani, nyie sio gdp kubwa pekee bali gdp yenu per capital haiendani na watu wanaoteseka kwa njaa. Haimake sense mtu wa $1500 aka $125 kwa mwezi anateseka kwa njaa na huku mTZ wa $1115 aka 92 anakula na kusaza. Ndio maana mchina akaona pesa haiwasaidii
 
Comment ya mwaka hii, kavu sana jombaa
 
Hahahaha, unajisikiaje Kama mtu anakutembelea nyumbani kwako na kukupa zawadi ya unga wa mahindi, unahisi amehisi wewe shida yako kubwa ni nini Kama sio njaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
ka ni ivo, mbona basi ombaomba waTz kwenye miji zetu?.. ushaai skia mkenya wowote ombaomba streets za dar ama arusha ama mwanza?!.. aah?.. hebu oneni hii picha nilichukua juzi 1st Jan, wenzenu kwenye streets za nairobi. huruma ilioje, ilinibidi nitoe mchango wangu. olewangu maskini tanzania ๐Ÿ˜ฅ
Your browser is not able to display this video.

na sio hawa tu, utawaona wengi sana kila leo, hasa River road na Tom mboya street
 
Tunazungumzia nchi sio mtu mmoja mmoja, Tanzania Kuna watu ombaomba Kama ilivyo nchi yoyote duniani, Kama umezunguka dunia, hata nchi za kibepari Kama USA, utakuta watu kibao wanalala mitaani na chini ya madaraja wanaomba, hapa East Africa Kenya ndio inaongoza kwa kuwa na watu wengi ombaomba mitaani.

Tukija katika ngazi ya nchi, Kenya Kama taifa ndiyo inayoongoza kwa kuwa Taifa ombaomba na tegemezi hapa Africa, ni taifa pekee linalopewa misaada ya chakula.
 
wakenya wanaanzia wapi kwa mfano kuja Tz kuombaomba ,wakati huku hatutaki ombaomba huwa tunafukuza laiti tungesema turuhusu hiyo hali mngdjazana huku mpaka basi,
ombaomba waliopo tz ni walemavu tena kuwapata wamezagaa zagaa ni tabh utaona mmoja mmoja tu
 
Kama kawaida yetu taifa la ujenzi wa madaraja ..New WAMI BRIDGE [emoji116] 500+ metresView attachment 2072776View attachment 2072777View attachment 2072778
Uwingi wa Mito Tanzania ni double edged sword..Upande mmoja ni advantage kwani..Kilimo, Uzalishaji wa umeme yote hutumia maziwa na mito....

Upande mwingine sasa ni disadavantage ..maana madaraja ni very costful kujenga...Daraja kama la Kigogo Busisi litacost 700billion tsh hela inatosha kujenga Kilometer 350 plus za lami ...kama Bei ni billion 2 tsh per kilometer .including Taa na drainage system

Kilometer 350 ni sawa na kwenda hadi Dar hadi karibia na Tanga ...

Building of bridges ..slows down Tanzania economy somehow(if money could be spent on hospitals ,education , developing Human capital)...but also bridges are needed as connection and to save time
 
vimejaza Kenya kuomba omba nkt
 
Hahahaha, unajisikiaje Kama mtu anakutembelea nyumbani kwako na kukupa zawadi ya unga wa mahindi, unahisi amehisi wewe shida yako kubwa ni nini Kama sio njaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
So whenever we visit our parents ama a friend with shopping having food stuff ina maana tumeoana wako na njaa? hizi fikra zenu ni dwarf sana, yaani mko ovyo kuruka ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚., ndio maana matokeo yake mnabakia kukua masikini fukara wa kutupwa licha ya nchi kua na rasilmali kibao, tatizo sio nchi, ni software ya raiya wake, haswa sampuli kama wewe, jiangalie ulivyo boya kimawazo, hadi raha ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
I guess 50's onwards to 80s ilikua msingi, kisha baada ya hapo kuna mabadiliko ya kukata na shoka that took less than 30 years, some changes happened within one generation, ofcourse being built on the established foundation.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ