Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya still has better health care than Tanzania, that`s why Magufuli, Tundu Lisu, Rose Muhando, and many other renowned Tanzanians run to Kenya to seek better healthcare.
still better of what??😂😂 magufuli alitibiwa mzena na akafia mzena ukipata picha ya magufuli akitibiwa nairobi nitag nifunge acc sasa hvi, na tundu lisu familia yake na chama chake kiliamua aletwe kenya kwasababu za kiusalama nothing else

hebu tuletee ushahidi kua watanzania wanakimbilia kenya kwa matibabu nasubiria🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

 
Hahahaha, unajisikiaje Kama mtu anakutembelea nyumbani kwako na kukupa zawadi ya unga wa mahindi, unahisi amehisi wewe shida yako kubwa ni nini Kama sio njaa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
All these are useless if you still depend on food donations for your survival [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huwa hautuangushi mzee wa kazi,respect
 
Yani imekuuma kuskia hatujawaomba sio[emoji1787][emoji1787]
Mafukara nyie

JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…