Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kenya wao malls ni maendeleo, twende nao ground nini battle ya malls kati ya Chicago na Chengdu, waone vile Chicago wanalazwa chali na mchina wa hapo mjini Chengdu.?
hawaamini macho yao leo kama vile wanashindwa kuamini dar imejengwa within few years kulinganisha na nairobi imeanza kujengwa kwanzia na wakoloni🀣🀣🀣
 
Sijapinga China kujengeka kwa kasi wala nini, wacha visingizio, eti USA blah blah blah.., debate ni Cheng Du na Chicago., wacha hizi akili za abunuasi na kujitia hamnazo ili kukwepa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
na mm nakwambia chicago inalala chali kwa chengdu nakujibu kwa ufasaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wachina watatuambia nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani nairobi ufananishe na dar labda chizi pekee ndio atakubali yani nairobi ni mji mdogo sana kwa dar yani napokwambia mdogo ujue ni mdogo kweli jengeni mji bado sana munasafari ndefu sana
Nenda kagombane na Mombasa ndio size ya Dar kiukweli, huu mjadala mimi niliufunga 2021., wewe ngoja miaka 25.., kwa sasa niambie kuhusu maendeleo na mapungufu revolving around hayo maendeleo.., am looking at the "cup half full", I need constructive discussions and developemntal oriented., hiyo utoto ulio nayo baki nazo kule vijiweni, ukweli tusha anika humu, with evidence, ata pia na google earth ilitusaidia sana, hayo tulimaliza, punguza hasira haitabadilisha chochote πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
endelea kujipa matumaini kwenye hakuna niliwah kukwambia mwanza ni mjiji wa kisasa kuliko mombasa ww unataka fananisha na dar unaweza kweli??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mm nakwambia nairobi inaingia mara 3 kwa dar ndio leo muje kufananisha hii miji miwili
 
kabla hamujapiga kura wakenya wote muzingatie hiiπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Yaani unaangalia mtazamo dogo? la si vile.., wingi wa appartments na good looking buildings visikudanganye..,
Tazama hiyo CBD yao? linganisha na Chigago, usiangalie tu architecture ya kupendeza iliyo jaa Cheng Du na ukubwa., la hasha..,

VS Chcago


Cheng Du, yaan apartments ni kwa wingi, ukubwa ni makazi kama tu Dar.., beautiful landscape naona.., still Chicago is above..,



Chicago..,



Chend Du CBD.., nice looking new buildings.., vs Chicago old school buildings with class and status..,


Chicago..,



 
hzi hutaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Ona sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
whatever angles, Chicago tops.., now do a thorough research tafuta expert opinion kisha uje.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
uheheh povu puani tayari 🀣🀣🀣🀣 nilitegemea na nilijua hutaamini
 
uheheh povu puani tayari 🀣🀣🀣🀣 nilitegemea na nilijua hutaamini
Pole bro, bado uko vile vile naona.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., utanyooka tu pole pole., am very patient with your typeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole bro, bado uko vile vile naona.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., utanyooka tu pole pole., am very patient with your typeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…