Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Today is when you are discovering kwanza and you think it's a Tanzanian thing?? Jeez!!🤣🤣🤣
Alafu amekwamilia the word "ujamaa" as Tanzania is the only country using that word😂😂😂. I`m sure hata hajui kuwa ujamaa is an Arabic word.
 
That guy read all those books about Kenya but got interested on the name alone, he tried Nyerere and got his whole philosophy 🤣🤣🤣🤣

Kweli Kenyatta ni Zezeta as majority of Kenyans nicknamed him 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
The guy don`t even know if there is someone by the name Nyerere. He documented all the important people that he met on his way to starting the The Kwanzaa Festival and Nyerere is nowhere to be seen.
 
Alafu amekwamilia the word "ujamaa" as Tanzania is the only country using that word😂😂😂. I`m sure hata hajui kuwa ujamaa is an Arabic word.
Muanze kuutukuza sasa ujamaa baada ya wa marekani kuukubali kama mnavyofanya kwenye kiswahili

Before bongo Flava haijawa world's anything wakenya mlikua mnakataza hata watoto wenu kujua kiswahili, leo bongo flavor imekitambulisha kiswahili duniani kila mtu yupo interested kukijua eti nanyi mnakiona cha maana 🤣🤣🤣🚮🚮🚮
 
Mwenye macho haambiwi tazama

JPM alikua ndio mkali wa hizi kazi, kutoka Makutupora kwenda Tabora ni plain ground hakuna geographical obstacles kama za kutoka Morogoro kwenda Makutupora lakini angalia kiasi cha pesa kilichotumika kujenga na hiki cha sasa

NB Yarpi ni mkandarasi mwenye vifaa site tayari

Ufisadi??? 🤔😔

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…