Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hata msijisumbue, Nchi yao ilitakiwa iwe level sawa na South Korea na Singapore kwa sasa. Ila Angalia wamebaki wanatembelea kichwa na Tanzania. Na wanajisifu wako mbele ila walichofanya wenyewe hakionekani Busy kusifia Barabara na Majengo ya Mchina [emoji1787]. What a loss.
 
Good evening crazy warthog.

 
unawazimu wa kichwa ww hii chelezo imejengwa juzi tuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Hii shipyard ilianza kujengwa before ya kisumu and Mombasa, saa hii ya kisumu and Mombasa are complete na hueziona vumbi hata moja lakini ya mwanza ni vumbi na matope from left to right πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…