Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wivu kwa project ya mchina ambayo nyinyi wenyewe mutailipia hio huduma kwa miaka 30 ni kweli mtu mwenye wivu atakua kichaa na mlevi pekee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

adui wa kenya namba moja ni uhuru kenyatta ukasirike ukubali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo ndio kaua economy yote ya kenya yani kaimaliza kabisa
 
Alright.
It doesn't make any sense being Small or huge.lets assume it's big as you would want it,what would be the difference.

Honestly your point doesn't hold .
haiwezi kua big na haitawah kua mark my words 🀣🀣🀣 hasira zako hazitasaidia
 
tunafurahi kuona project ya mchina kwa miaka 30 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani nchi yenu lakini mchina ndio mmiliki wa hio barabara kwa miaka 30 na hamutapita bure niamini mm budaa
Maumivu yataisha tu usijali. Najua unatamani ingejengwa Tanzania.
 
Maumivu yataisha tu usijali. Najua unatamani ingejengwa Tanzania.
itajengwa kwa pesa za tanzania na hakuna mtu kulipa ada kwa ajili ya matumizi πŸ˜‚πŸ˜‚

ww husikiii uchungu kusikia ardhi ni yenu mradi wa mchina kodi atachukua mchina kwa miaka 30 na hakuna yoyote atapita bure bila malipo

how do u feel🀣🀣🀣🀣🀣
 
Boss sisi tunakuwa first world tunawaacha matopeni.
 
Boss sisi tunakuwa first world tunawaacha matopeni.
unakua first world huku mchina yuko kwenye toll zake akikusanya kodi zenu kwa miaka 30 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mume punguza umaskini au mumeongeza ??
 
unakua first world huku mchina yuko kwenye toll zake akikusanya kodi zenu kwa miaka 30 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mume punguza umaskini au mumeongeza ??
Kwani ulitaka watujengee bure? Bro, Kenya sio kama Tanzania where everything is either a donation or grant.
 
unakua first world huku mchina yuko kwenye toll zake akikusanya kodi zenu kwa miaka 30 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mume punguza umaskini au mumeongeza ??
Wacha ushamba mzee. Nchi zote first world zina toll roads. Kama hujui basi nimekufunza kitu hapo. Huwezi kutegemea serikali ijenge barabara zote nchini. Lazima private sector ihusike kujenga barabara na ports na airports na powerplants na railways. Kwanza Marekani wanapenda sana hii PPP model. Nchi yoyote ya kikapitolisti lazima ihusishe private sector katika ujenzi wa miundo mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…