Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni povu sasa naona kwa wingi, ukwelib wasio penda kusikia ama kuona inawatesaga sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
watu wote wa density, mombasa ndio fimbo yenu... afteral they are both at the kiswahili coast and they were both built at the same time using the same kiswahili design concept, hence are look alike
 
watu wote wa density, mombasa ndio fimbo yenu... afteral they are both at the kiswahili coast and they were both built at the same time using the same kiswahili design concept, hence are look alike
fimbo ya wapi?? au fimbo ya matumaini baada ya nairobi kula kibano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
watu wote wa density, mombasa ndio fimbo yenu... afteral they are both at the kiswahili coast and they were both built at the same time using the same kiswahili design concept, hence are look alike
We jamaa unanichekeshaga tabia ya kuji quote mwenyew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi unajua lakini hizi picha za engo zote zinazo zungumziwa Mombasa HiiπŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nenda kamsikize diamond akingangana na kizungu ndio ujue mko chini
 
Labda nikunyooshe Mbongo anajulikana popote anapoenda sababu ndo hizi-
1.Ni mstaarabu Sana
2.ana moyo wa huruma
3.ni mchangamfuu ana tabasam anapoongea
3.hana tamaa anaridhika hana tabia za janjajanja
4.mbongo ni msafiπŸ˜ƒ
Eti hana tamaaa...hebu nenda gikombaa ujionee wachagaa wanavyo hemea hela....
Halafu hapo kwa moyo wa huruma ..uongo mtupu....mi nshakuwa tz...na i was so discriminated apart from one mzee kibiringi...abarikiwe sana... lakini kwa wengi wenu...mkiona mgeni mnadhani ame come kuwanyanganya kidogo mlicho nacho...toka lini tajiri akaibia maskini?
 
kuzubaa, mmezubaa nyinyi, mpaka mnaingizwa mjini na wachina kwenye ujenzi wa barabara.

FYI, baba Levo was running game on your ass.
game zipi bichi kidimbwi? yote aliyasemea hukohuko kwenu kwa vipindi za redioni za kwenu huko....alikuja akaduwaaaaaaaaaaa nairobi.....miaka ishirini na tano ndio mtukaribie....najua hata nyinyi vijilima wengine sahii mnatamani mje mjithibithishie
 
We jamaa unanichekeshaga tabia ya kuji quote mwenyew [emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua lakini hizi picha za engo zote zinazo zungumziwa Mombasa Hii[emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2053257
Lol......it's clear you have no clue of Mombasa......Ukiona flats za Bamburi ,shanzu na Mtwapa si utazirai
 
We jamaa unanichekeshaga tabia ya kuji quote mwenyew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi unajua lakini hizi picha za engo zote zinazo zungumziwa Mombasa HiiπŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 2053257

Yani Mombasa ni kubwa mno! sasa wewe unafikiria hapa πŸ‘† πŸ‘†, a road from Buxton kuelekea Likoni ni same na hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ ? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ dogo hapa πŸ‘‡ ni kutokea sehemu za Makupa., mtanyooka..,


Picha uliyo post ni hi street inapita across, next to old town.., sehemu tofauti..,

Mombasa inatoa Dar kamasi on average., Dar ni uswazi ndio imejaza udongo wa jiji.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ google earth ni chawa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
@Tony254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…