Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Diamond had to partner with odibets from Kenya to launch wasafi bet in Tanzania, it doesn't get better than this 🤣🤣🤣🤣
 
Last warning ⚠️, no data don't quote me
 
We want to prevent another MV Nyerere from happening, that's why we emphasize on quality 👇👇
 
Diamond had to partner with odibets from Kenya to launch wasafi bet in Tanzania, it doesn't get better than this [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2048824View attachment 2048825
Diamond anaendelea kuwa tajiri wakati wasanii wenu wanaendelea kuwa masikini hujiukizi kwanini Wasanii wa Tanzania ni matajiri because we run music industry in East Africa.
 
Eneo lote hilo hakuna kitu isipokuwa vijengo viwili lkn picha zake zikipigwa upande upande unaweza sema ni kweli.

Wakenya kwenye picha noma sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2048658
Sasa unataka shopping mall ijengeke kilo mita tano au sita mraba? Hiyo eneo la juu umecircle nani kakuambia ni part of Two Rivers? Ama point yako ni nini haswa?

And just in case you didn't know, two Rivers is a complete development that comprises of the mall, residential and office buildings set on 102 acres. That's massive development you can't find hapo Dar. The whole project is called Two Rivers Social City and this is how it will look like once complete


This is the progress so far


Hebu niletee mall hapo Dar with such kind of development kabla ya Kutoa povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…