Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rudia majibu yangu zwazwa wewe, huo utumbo wote uliotaja nimeujibu .. hakuna kitu mnatuzidi mzee .. sijui iyo ICT Ila kila ulichotaja hapo mko nyuma yetu tena by far
 
Nope, it's just past the junction to kikuyu on your way to rironi. The road that branches on the left joins the southern by pass on your way to Kikuyu town.
Is this the Rironi road that will end up at Mau Summit?
 
Rudia majibu yangu zwazwa wewe, huo utumbo wote uliotaja nimeujibu .. hakuna kitu mnatuzidi mzee .. sijui iyo ICT Ila kila ulichotaja hapo mko nyuma yetu tena by far
Oyaaaa jana Arusha ilikimbizwa na Kisumu kwa street view ukahepa kuleta picha za Dar. Street view ya Nairobi utawezana nayo kweli.🀣🀣🀣🀣

 
Yote ni mataifa ya Afrika mashariki lakini taifa moja linajinasibu kuwa most powerful in the region heb tuende ground tukaone mambo yalivyo

Taifa linalojinasibu kuwa tajiri Afrika mashariki mambo yao πŸ‘‡vs taifa linalotajwa kuwa taifa maskini kuliko yote EA mambow yao πŸ‘‡


Ukiwa muungwana mwenye akili timamu, nini maoni yako kutokana na picha hizo hapo juu.?
 
Nope, it's just past the junction to kikuyu on your way to rironi. The road that branches on the left joins the southern by pass on your way to Kikuyu town.
Is this the Rironi road that will end up at Mau Summit?
i am sure that spot cant go beyond 800 metres......Thika road is a 45 km 12 lane superhighway
 
Jaribu kutulia na bado wengi wenu wanapanda hizi mawe.

 
You need to come to Dar es Salaam and see the changes by your clear eyes, Dar city center is no longer using those vipanyas rides
so brt carries the whole of dar......wewe kijana kadanganye wa kwenu considering the ratio of cars per thousand people in tz is 7 per 1000.......dont carry us ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…