Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajifanya kujua sana na hakuna kitu unajua mr international radiologist. 🤣🤣🤣🤣Hio Cathlab yenu ni ya kawaida tu, haikosi ni machine ya siemens na zimejaa hapa Africa hata Uganda iko. Kenya ziko kadhaa. Hii ya Mombasa inatumia machine ya Philips Azunion 7c20 ceiling mounted ambazo ziko mbili tu hii Africa mzima. Kama unavyo ona kwa the map below Kenya ilikua na 5 TZ ikiwa na 2 wakati hii data ilikua inachukuliwa in 2018 sahii Kenya ziko more than 10 probably.

https://www.researchgate.net/figure...Saharan-Africa-in-2018-Adopted_fig1_349166224

 
Hahahaha, hiyo yetu is the most recent and more advanced technology, 3D and the only one in East Africa, soma vizuri hayo maelezo na ufananisho na hiyo yenu very old outdated machine [emoji23][emoji23][emoji23]

Ninarudia tena, katika Africa Tanzania is number three just behind South Africa and Egypt, never again try to compare Tanzania and Kenya in advanced Health care services, I repeat, never again, stupid kabisa.
 
Enda ulale keyboard warrior , hio yenu ni advanced kwa mdomo tu, huna aibu kuongea na mkona cath lab mbili nchi mzima. 🤣🤣🤣
 
PARDON???
 
Not even near
 
Local suppliers pekee, hakuna kuagiza nje vile ulikua unadanganya eti zinatoka bongo.
Kwani local supplier wana deliver concrete instead of wooden? Pamoja ni local suppliers but sourced from Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…