Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kila mtaa, Arusha hata CBD ni vumbi tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ fika Arusha acha kukaa porini uko, hii hapa ni Arusha CBD hii ni current photo, vipi unaona vumbi hapo.? By the way Arusha Iko na udongo kama wa NAIROBI
 
kwahiyo umekubali kuwa hapa ni Nairobi nilijua wanadanganya mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2046133
 
Wazungu wenye walileta google earth, bingu inawatazama, hukumu keshatolewa.., ile radi itawapiga!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Dar.., yaani almost kila eneo ni huu muonekano., haijabadilika tangu nifike kule wakati BRT inajengwa., madiliko sioni haswa! mzungu akisema ukweli mnakanusha eti maoni yake tu, Baba Levo akitoa ushuhuda mnamuita chawa.., sasa Google Earth mtaibatiza jina gani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Sehemu tofauti tofauti kwa umbali sana.., yaani hazijakaribiana..,





 
kwahiyo umekubali kuwa hapa ni Nairobi nilijua wanadanganya mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2046134View attachment 2046133
Ni Nairobi kwa umbali wa zaidi ya 3300 above air, zoom karibu ushangae, ingia google earth, mtanyooka by force by fire πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., na hapa ni Dar.., mzee tofautisha.., mko hovyo kupindukia, Kampala iko nafuu sana ata kama ni ndogo..,

 
Masaki ndani ndani ni vumbi estate, yaani Arusha, Mwanza, Dodoma na Dar ni the same tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Waah whats the population here though? if this isnt a slum i dont knw what is, how can people be this delusional though
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…