Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Most definitely .. πππ inawezekana zinatajwa hizo tu kumbe mambo yapo hovyo zaidi kwa slums zingineUnaweza kuta mathare na kibera zipo overrated kumbe wana slums zingine za kutisha.
moshi vumbi tunapatia tu narokπππππ Naona umechukua moja Kati ya picha nilizopost Ili upate nafuu πππ na sikuachi ng'o, na hiyo ndio estate yenye maana pekee Kisumu nzima . ngoja π Arusha ni more than oneView attachment 2045991View attachment 2045992View attachment 2045993View attachment 2045994View attachment 2045995View attachment 2045996kisumu level zake ni Moshi..
looks better planned than arusha thoughHii size yake ni hapa πMoshi townView attachment 2046002
Sisi tumeshawazoea tukipost leo kesho mnajisahaulisha tunabishana tena πππ, nyie jamaa bhanaDar huwezi hupata city clocks mingi hivi, street furniture ni shida, surveillance cameras hakuna, dualled streets ni za kuhesabika, monuments ni mbili. Jiji la kishamba sana. Ni viazi karai tu ndio iko kwa wingi. ππππ
Kwenye hiyo picha kuna sehem kunaonekana vumbi.?moshi vumbi tunapatia tu narok
Usicompare Kisumu na hizi vijiji vya mashambani, lazima uende Dar ndio upate some services. Kisumu ikona kila kitu ile unaweza pata Nairobi, hadi international brands.Hii size yake ni hapa πMoshi townView attachment 2046002
Hamna cha kupost, kazi ni kujirudia tu. Street moja inapostiwa na watu ishirini mara mia moja. π€£π€£π€£Sisi tumeshawazoea tukipost leo kesho mnajisahaulisha tunabishana tena πππ, nyie jamaa bhana
Unataka tuangalie upande wa huduma pia.? πππ Kwa upende wa huduma Kisumu ni kijiji where you compare it to either Moshi or Arusha, tena huku ndio kuifanya Kisumu iwe si chochote hata mbele ya Moshi town mzee, unabisha twende ground.?Usicompare Kisumu na hizi vijiji vya mashambani, lazima uende Dar ndio upate some services. Kisumu ikona kila kitu ile unaweza pata Nairobi, hadi international brands.
Ni street gani ilipostiwa na watu ishirini mara mia.? mimi sitairudiaHamna cha kupost, kazi ni kujirudia tu. Street moja inapostiwa na watu ishirini mara mia moja. π€£π€£π€£
Tukienda ground utateseka kama vile uliteseka na monuments zako tano. πππUnataka tuangalie upande wa huduma pia.? πππ Kwa upende wa huduma Kisumu ni kijiji where you compare it to either Moshi or Arusha, tena huku ndio kuifanya Kisumu iwe si chochote hata mbele ya Moshi town mzee, unabisha twende ground.?
Tena nakwambiaje usije ukajaribu utaabika, chochote unachotaka/kufikiri wewe kuhusu Kisumu, ujue fika inazidiwa na Arusha.. chochote kile..Tukienda ground utateseka kama vile uliteseka na monuments zako tano. πππ
Naona Kisumu iko juu despite the fact you cherry picked photos.Heb kujibu mwenyewe kwa picha πView attachment 2045954View attachment 2045955View attachment 2045956View attachment 2045958View attachment 2045960View attachment 2045961vs Kisumu CBDπView attachment 2045962View attachment 2045963View attachment 2045964ππππ kwa upeo wa macho yako hapo Kisumu ni zaidi ya Arusha.. hizo hapo juu ni CBD ya chuga vs KISUMU CBD.. heb nipe majibu
unauhakika dar hamna surveillance cameras? endelea kujitekenya na kuchekaDar huwezi hupata city clocks mingi hivi, street furniture ni shida, surveillance cameras hakuna, dualled streets ni za kuhesabika, monuments ni mbili. Jiji la kishamba sana. Ni viazi karai tu ndio iko kwa wingi. ππππ
Umeona ulivyo minga.? tena unapost jengo moja moja πππ unakichaa wewe sibure, kwahyo unafkiri battle ya jengo moja moja mimi ntaitumia Arusha.? πππ, Hii level yake ni Moshi mzee hutaki.?Naona Kisumu iko juu despite the fact you cherry picked photos.
Anyway, show us the street level pics of Arusha. ππππ
View attachment 2046032View attachment 2046033View attachment 2046034View attachment 2046035View attachment 2046036
Unaogopa street level maanake unajua jinsi Arusha ilivyochakaa kwa street level. π€£π€£Umeona ulivyo minga.? tena unapost jengo moja moja πππ unakichaa wewe sibure, kwahyo unafkiri battle ya jengo moja moja mimi ntaitumia Arusha.? πππ, Hii level yake ni Moshi mzee hutaki.?
Tuonyeshe plus the command center.unauhakika dar hamna surveillance cameras? endelea kujitekenya na kucheka
Leta street view, tuone NMT kama inaweza shindana na Kisumu.Umeona ulivyo minga.? tena unapost jengo moja moja πππ unakichaa wewe sibure, kwahyo unafkiri battle ya jengo moja moja mimi ntaitumia Arusha.? πππ, Hii level yake ni Moshi mzee hutaki.?
πππππππππππππ Hatari na nusu Duh .. wewe unanifurahisha sana .. Duh wakenya ni vichwa ngumu mnoo, hawataki kukubali kushindwa hawa jamaa.. shida nini wazee.?Unaogopa street level maanake unajua jinsi Arusha ilivyochakaa kwa street level. π€£π€£
Na wewe hauijui Dar? wewe mgeni nini, ama wewe ni wamashambani unaonaga Dar kwa Tv na kwa mitandao, ama kwa kuadithiwa tu? jua mji wenu uchwara, mtu asikuhadithie tafadhali π π π π jionee mwenyewe.., pia tumia google earth ujionee mji wenu wa Dar, watu wa pwani wasikudanganye, wana maisha ya ufukara kule mjini Dar.,duu hivi hii Nairobi tunayopigiwa nayo kelele iko hivi[emoji2960][emoji2960][emoji2960]View attachment 2045999