Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
ππππ Unanifurahisha sana kwahyo hapo chini unaona nini .? Au unataka nkuletee kisumu kwa umbali huo uone inafananaje.? KISUMU haina qualification hata za kuwa City mzee πArusha nimeichambua.., dunia ya leo mtu anidanganyi., Dar, Mwanza, Dodoma, all are in my palms.., google earth! Sama boy 255 ..,
Arusha hii moja..,
View attachment 2045911
View attachment 2045920
Hivi unaweza kulinganisha hii.....................Can you show a single picture of Arusha's unplanned settlements that I've posted.?
25 years behindKama kawaida, lazima wakue nyuma. π€£π€£π€£π€£
Heb kujibu mwenyewe kwa picha πHivi mwenye anasema Arusha imeizidi Kisumu na mwenye anasema Kisumu imeizidi Arusha nani mwehu? Arusha ligi yake ni Eldoret, hata Nakuru hamuinusi.
Ingia kwa airport, angalia landing and departure board ujionee., weka humu na tarehe ya leo bana., mimi si mwehu, wakati mwingine tunataniana sana, lakini ikija kwa facts am serious., check kisha uje uniambie.., kazi kwako.,Ukitaka kujua ukweli wa hii kitu pitia ratiba za Air Tanzania pekee uone ndege zinaruka daily, hizo ramani za kujifurahisha kama ndio unataka, we endelea nazo pia haukatazwi πππ
hata upindue picha arusharusha ni ile ile tu....Ingia kwa airport, angalia landing and departure board ujionee., weka humu na tarehe ya leo bana., mimi si mwehu, wakati mwingine tunataniana sana, lakini ikija kwa facts am serious., check kisha uje uniambie.., kazi kwako.,
Unaokota vipicha vya kisumu vya kitambo kujiliwaza., ni wewe mwenyewe uliamua kuenda njia ya google earth, hali kamili, stick to it., najua umejionea.., kelele mingi sasa fyata π π π π π ., kila kitu kiko wazi maneno yako yatabaki tu kukua maneno..,Heb kujibu mwenyewe kwa picha πView attachment 2045954View attachment 2045955View attachment 2045956View attachment 2045958View attachment 2045960View attachment 2045961vs Kisumu CBDπView attachment 2045962View attachment 2045963View attachment 2045964ππππ kwa upeo wa macho yako hapo Kisumu ni zaidi ya Arusha.. hizo hapo juu ni CBD ya chuga vs KISUMU CBD.. heb nipe majibu
hii inaitwa grid de sacHivi unaweza kulinganisha hii.....................
View attachment 2045947
na hii.................?
View attachment 2045952View attachment 2045953
kwahiyo manesi wa kunyaland hawajui kiswahili wala lugha ya malikia pole zao, sasa walisomaje shule? mkiambia kenya ni failed state jua ni failed state kweliSo you want to go where guys are speaking French you talk with your mother tongue nkt! You creatures are so behind. Tujivunie Kiswahili lakini pia we must learn language of trade
πππππ Naona umechukua moja Kati ya picha nilizopost Ili upate nafuu πππ na sikuachi ng'o, na hiyo ndio estate yenye maana pekee Kisumu nzima . ngoja π Arusha ni more than oneHivi unaweza kulinganisha hii.....................
View attachment 2045947
na hii.................?
View attachment 2045952View attachment 2045953
Hiyo nyalenda slum mbona ni kubwa hivo. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanifurahisha sana kwahyo hapo chini unaona nini .? Au unataka nkuletee kisumu kwa umbali huo uone inafananaje.? KISUMU haina qualification hata za kuwa City mzee [emoji116]View attachment 2045945View attachment 2045946[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuaje Kisumu ikapata city status.? Mana ni ka CBD kadogo, Estates moja kali, slums na mapori everywhere [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2045943
duu hivi hii Nairobi tunayopigiwa nayo kelele iko hivi[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Unaokota vipicha vya kisumu vya kitambo kujiliwaza., ni wewe mwenyewe uliamua kuenda njia ya google earth, hali kamili, stick to it., najua umejionea.., kelele mingi sasa fyata [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., kila kitu kiko wazi maneno yako yatabaki tu kukua maneno..,
We jamaa vipi πππ Mbona unataka kubishia ukweli unaoonekana wazi kabisa.? Haya leta hizo picha mpya za Kisumu .. au unataka tupost jengo moja moja.? πππ Mana hapa lengo lako nalijua ni kale ka gorofa kamoja kadogo ka vioo hakapo kwenye picha ndio mana unadai Kisumu ya Zamani ππππ.. kwa jengo moja moja mzee Arusha usije ukajaribu kabisa mana huko chuga kuna majengo marefu.. yani kabisa unakaza tako.?Unaokota vipicha vya kisumu vya kitambo kujiliwaza., ni wewe mwenyewe uliamua kuenda njia ya google earth, hali kamili, stick to it., najua umejionea.., kelele mingi sasa fyata π π π π π ., kila kitu kiko wazi maneno yako yatabaki tu kukua maneno..,
πππ Wapo hovyo vibaya mnoo wanapiga kelele tu hapa.. hiyo Kisumu haiwezani hata na Moshi town, ni uchafu mtupuHiyo nyalenda slum mbona ni kubwa hivo. [emoji119][emoji119][emoji119]
Wakunya kwenye slums hawana mpinzani.
Dar huwezi hupata city clocks mingi hivi, street furniture ni shida, surveillance cameras hakuna, dualled streets ni za kuhesabika, monuments ni mbili. Jiji la kishamba sana. Ni viazi karai tu ndio iko kwa wingi. ππππSuch a calm city Dar should take a leaf View attachment 2045881View attachment 2045882View attachment 2045883View attachment 2045884View attachment 2045885View attachment 2045886View attachment 2045887View attachment 2045888View attachment 2045889View attachment 2045896View attachment 2045900View attachment 2045897View attachment 2045899View attachment 2045898View attachment 2045903View attachment 2045902View attachment 2045906View attachment 2045907View attachment 2045908View attachment 2045909
View attachment 2045901
View attachment 2045904
Unaweza kuta mathare na kibera zipo overrated kumbe wana slums zingine za kutisha.[emoji23][emoji23][emoji23] Wapo hovyo vibaya mnoo wanapiga kelele tu hapa.. hiyo Kisumu haiwezani hata na Moshi town, ni uchafu mtupu
Kwani Kilimanjaro International Airport ipo mkoa gani?hahaha.....I knew you would run to kilimanjaro [emoji1787][emoji1787]
Hii size yake ni hapa πMoshi town