joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, Kenya hamuwezi na haitotokea muweze kufanya "liver transplant" in our life time, mtaendelea kudanganya watu wajinga ila sisi tunawajua vizuri tutaendelea kuwaumbua, ninyi Hospitali zenu ni madalali tu wa Hospitals za India na nchi za UlayaEti South Africa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaropokwa tu kama kawaida. Nimekuambia hakuna transplant munaweza fanya hapo bongo bila kutuma tissue samples Kenya au nchi nyingine yenye machine ya tissue typing.
😂😂😂 Uwe u auliza umbiwe vitu usivyovijua mzee, Moshi ni wilaya iliyopo mkoani Kilimanjaro, makao makuu ya mkoa wa Kilimanjaro ni wilayani Moshi, Mlima Kilimanjaro, uwanja wa ndege Kilimanjaro international airport na administration blocks za mkoa vyote vipo ndani ya wilaya ya Moshi .. now you knowhahaha.....I knew you would run to kilimanjaro [emoji1787][emoji1787]
Politicians wanapiga pesa kupitia ujinga mliojaza kichwani, ss mnajengewa upumbavu kama huo ambao hauna standards na hamuhuitaji, nyie mnahitaji chakula kwa ss kuliko kitu chochote.Wee jamaa mpuzi sana, kama hatuhitaji mbona tunatumia basi, you reasoning bana is just trash
Dozi zako nzito nzito ambazo ni ukweli mtupu wala sio kujiliwaza kama wakunya, yn unawanyoosha kweli kweli, nikupe siri ni kwamba Wakunya wanakuchukia mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumenunua ndege 12 out of pockets, something Kenya can't even dream, tumelipa $4B kujenga Bwawa la Umeme from our pockets, Kenya can't even believe this to happen in the next 50yrs to come [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, Kenya hamuwezi na haitotokea muweze kufanya "liver transplant" in our life time, mtaendelea kudanganya watu wajinga ila sisi tunawajua vizuri tutaendelea kuwaumbua, ninyi Hospitali zenu ni madalali tu wa Hospitals za India na nchi za Ulaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Low Cost Liver Transplant in Kenya | Best Hospitals for Liver Transplant in Kenya
Get a FREE Quote & Expert Advice from top Liver Transplant hospitals in Kenya. Lyfboat connects you directly with Top Liver Transplant Specialists for quality care at Affordable prices. Get a FREE Second Opinion!www.lyfboat.com
Project moja on air [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii imekuwa summarized hapa wala usijisumbue kuongopa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]View attachment 2045451View attachment 2045452View attachment 2045453
Niliamu tu kuwatolea uvivu hawa mbwa, huwa Nachekaga sana wakisema eti Kisumu inawezana na Chuga.Umetisha mzee [emoji122][emoji122]
Mwingine anakuambia mbn umeleta uwanja wa Kilimanjaro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliamu tu kuwatolea uvivu hawa mbwa, huwa Nachekaga sana wakisema eti Kisumu inawezana na Chuga.
😱😱😱😱😱the worst city dream houses ever seen,, imagine mtu mmoja akinyamba hapo🤔🤣🤣😂🤢🤮hii ndio unamaanishaView attachment 2045399
Hao jamaa wako na mentality kwamba hatuwawez, kitu ambacho ni wanajiongopea, na kwasababu wao wko radhi watudanganye ili tuone wao ni noma, ndio hata wakiona kwamba tukiwaonyesha mambo mazuri wanaona tunaongopa kama ilivyo mazoea yao 😂😂😂😂Mwingine anakuambia mbn umeleta uwanja wa Kilimanjaro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwasasa Wakenya wana adabu na Tz, cc Watz ndio tuna mentality kwamba Wakenya ni maskini wanaotegemea mikopo, na wanaosumbuliwa na njaa na magonjwa, huku kwetu mtaani mtu akikuomba hela ukimjibu Kenya mwanangu, hapo unakuwa umemaanisha sina kitu.Hao jamaa wako na mentality kwamba hatuwawez, kitu ambacho ni wanajiongopea, na kwasababu wao wko radhi watudanganye ili tuone wao ni noma, ndio hata wakiona kwamba tukiwaonyesha mambo mazuri wanaona tunaongopa kama ilivyo mazoea yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arusha ijitahidi inaiondoa Nairobi kwenye ramani 😂😂😂😂Oy bandugu nilikua sijamaliza kupost kuhusu Arusha .. Hii ni kwa faida ya mkunya na watz ambao hawajawahi kufika Arusha .. hili eneo halijawahi kupigwa picha na kupostiwa popote pale ila mimi nitatumia google earth kwasababu naijua vizur Chuga, muone namna magufuli alivyopiga lami za kuzidi hapo mjini Chuga 👇View attachment 2045493View attachment 2045494haya meneo ☝️ni pembeni kidogo ya CBD pale mjini kati .. owky niwarudishe kwa makazi ya Watu nje ya CBD.. oya Chuga ni balaa 👇View attachment 2045496View attachment 2045497View attachment 2045498View attachment 2045499View attachment 2045516View attachment 2045517closer view 👇huu ni ule mji wanajenga unaitwa BURKA cityView attachment 2045524haya nayo 👇 ni maeneo ya karibu na mji unaitwa Safari City uke mradi wa NHC ulioishia njiani .. Hapa ni karibu na makazi hayo 👇View attachment 2045526wakunya 😂😂😂😂 kuanzia leo iwe marufuku kuitaja Arusha kwenye sentence moja na kijiji cha Kisumu ni dharau ya hali ya juu, Arusha ipo kwenye league yake yenyewe hapa EA .. Kisumu level zake ni Moshi ..
Zamani wakenya ulikua wenyewe ndio walitaka battle za mikoa tofauti, walikua wanapata vitasa special mpaka Hawaamini, saivi mkenya kajifunza hata utake battle ya aina gani, hataki tena sababu anajua kitakachotokea 😅😅😅😅Kama Kuna mkunya mwenye ubavu tuanze battle ya education institutions kwanza kati ya Moshi/Kilimanjaro na Kisumu
Baadae tutaingia hospitals, hotels, industries, farming, real estate, infrastructures etc
Nipo tayari hapa nasubiri kipenga
Hahahaha, ninajua vizuri Sana kwamba hawanipendi Hawa jamaa, ni Tony254 na Mkikuyu- Akili timamu pekee ndio wanaonikubali, ninajua jinsi wanavyonichukia, nikifika Nairobi wakinijua watanikatakata vipande vipande na kunitafunia bila hata kunipika.Dozi zako nzito nzito ambazo ni ukweli mtupu wala sio kujiliwaza kama wakunya, yn unawanyoosha kweli kweli, nikupe siri ni kwamba Wakunya wanakuchukia mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]