kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
umemgonga panapo uma zaidi....

umemgonga panapo uma zaidi....

Hebu tuoneshe driving license za kenyaHahaha fishing village na technology ni kama maji na mafuta.......
Sent using Jamii Forums mobile app
ndizi zinazolimwa mbeya,bukoba na kilimanjaro zinalisha tanzania na nchi jirani.Mtu wako wa meru hajakupeleka meru uone venye wamejaza bananas everywhere?
Damn I hate fish, yaani the ocean is like another world mimi na samaki ziii, mara papa, mermaids, half human half snakes wanaishi huko chini, wacha nikimbishane na kuku, mbuzi, ngombe na pig
😀😀😀😀😀😀 njaa mbaya sana
kama kisii ina ndizi,basi jibu lake halitofautiani na hili nililomjibu mwenzio kuhusu meru.
ndizi zinazolimwa mbeya,bukoba na kilimanjaro zinalisha tanzania na nchi jirani.
kama wameru wanalima ndizi, basi zinawatosha wao wenyewe,sidhani kama ndizi zao zinatosha kulisha nchi yote ya kenya.vinginevyo zingesaidia kuiondoa kenya na janga la njaa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Acha excuses za kishamba, mbona hata nchi kavu kuna nyoka, wachawi, majini, na kila takataka na vitu vyake unakula? Kweli mbaazi ikikosa maua husingizia jua 😀😀😀😀😀
Sema hapo kibera ni land locked area that's why huna access ya samaki, mambo ya pwani haya msee, wewe mmasai huyawez, nenda porini ukawinde fisi.
Hahaha he is so green in knowing basic stuffWewe change to your name from GREENER to FUCKER 😀😀😀
ha haaa mbona zipo tena nyingi tu tumekutolea ramani yenye location .......areas fanya ugoogle uone....watanzania semeni tu neno gated communities, estates na apartments ni geni kwenu. Huwa hamna picha za kujibu sasa ni visingizio tu....hahaha. Mtaelewa tu issue ya mortgage mkitoka LDC
povu povu...punguzeni hasira.msikasirike.I don't get how this retards reason out, but then again you have to read in between the lines and understand how much they pray for our downfall everyday, wakiona bad news in kenya they get into a celebratory mood, this fuckers are jus like that jealous friend you have because your doin much better than him, they always want us to "Soma number" but they always find themselves stuck in that circle, very sad

ha haaa mbona zipo tena nyingi tu tumekutolea ramani yenye location .......areas fanya ugoogle uone....
ujue nyie ni wapuuzi mi huwa nawacheka tu nakuwadharau.......cha msingi endeleeni kufanya marudio.......nairobi ni bonge la jiji mpaka nawaonea wivu yaani hiyo city ingebidi iwe europe haifai kuwa africa maana ni balaa zaidi ya london