nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
hujielewi wewe, kubwa jingaKwani ilikua ipeleke taifa fukara hasara?, a misuse of taxpayers money kwa ajili ya wivu tu., yani serikali inakurupuka tu na vi project bila kutilia maanani pros and cons, bora pia na wao wakue na ndege kama Kenya! ona vile ndege linapata tabu π π π , mnashindana na ndovu kukunya ona mnavyo pasuka msamba kila siku π π π
Source: Mama Ngina.Yes hii ndio parliament ya kenya since 1960's sii hi yenyu mmejenga juzi through kenyan architechts
Kila kitu ni mkoloni, yn mpk leo mmeshindwa kujenga parliament kwa mikono yenu, mmeshindwa kumjengea Nyumba Rais, bado mko utumwani aisee Kenya ni Mavi.Kenyan architects! Tz walikua bado porini basi.,
Sasa ndugu yangu umepost kitu gani cha maana hapo.? Hiyo calvat au.? Kisumu kuna kipi cha maana mzee.? Mbona unataka kuongea uongo.? Kisumu ni kijijini kabisa uko watu wanatumia boda boda za baskeli.? πππ Hiyo City center yao ndio ndogo mnoZero point, hakuna jibu π π π π π π bongolala kwa ubora π π π
Haiya, ebu tueleze biashara gani hiyo?unafahamu lengo la kuanzishwa kwake? unafahamu wakenya wanatamani kufanya biasha na atcl?
πππ Hao wazee wako hovyo sana sikuhiz gear walioamua kuondoka nayo kwasababu kila uchao tunawazidi wameamua kusema sasa eti wao ndio designers wa miradi yetu π πSource: Mama Ngina.
Nikama unapenda mama wazee, mtafute anaishi mahali inaitwa gatunduSource: Mama Ngina.
wezi wa mizigo ya abiria, kq itapandwa na asiyeifahamu tuNa ndio zinaongoza kwa hizo airport zenu uchwara, pia akina Jambo jet.., meza wembe, ATCL halijui maana ya neno "profit" ni nini, bure kabisa π π π π π
Ukweli inauma, zoea π π πhujielewi wewe, kubwa jinga
Wew jamaa unaongea nini .? πππ Ni kama una bweka bwekaYaani pengine wajukuu wenu ndio wataviona., SGR tu inawachukua huu mda wote kasehemu kadogo! eti Natural Gas $30B., taifa nzima revenue ata nusu ya hiyo hamuwezi, na hamukopesheki kihivyo, ufukara, hizo projects ziko kwa makaratasi, ngoja pesa itolewe kisha uje π π π π ., Bagamoyo pia msipo mpa mchina haibanduki π π π π π ., hivyo vi project unaanika humu, kwa uwezo wa uchumi wenu hafifu itawachukua miaka mia moja msipo kopa, wewe ni jinga type π π π π
Yes nabweka bweka na facts, ukweli lazima niwajuze muache kuota mchana π π π πWew jamaa unaongea nini .? πππ Ni kama una bweka bweka
serikali ya kenya inanamilki hisa ngapi KQ ukiacha majengo? ATCL % ni mali ya watanzaniaUkweli inauma, zoea π π π
[emoji33][emoji33][emoji33]Huyu Idiot 007 aende muhimbili aangaliwe akili, he needs it[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2044942
Kwani Kisumu Ina barabara ngapi.? ππ Ile ni interchange au unnecessary calvat inside your village center, Kisumu haiwezani na ARUSHA hata dakika moja .. upo hapa kutaja taja Mwanza, unakichaa.? πππKabarabara kamoja, no interchange anywhere.., Kisumu sio size yenu nyambaff π π π ., hii Arusha ndio iko nafuu kidogo outside Dar, yet ni sehemu tuπ π π π π ., dogo naona umejimwaya mwaya uwanjani eti?., una nini leo hii?
So what? sisi mabepari ba mzee., hiyo umiliki wa 100% faida iko wapi?., route za dala dala mnazo piga pia hamuna faida π π π π π π πserikali ya kenya inanamilki hisa ngapi KQ ukiacha majengo? ATCL % ni mali ya watanzania
Sawa pia mimi nimeona, Tz iko na cities nje ya Dar, sawa tuliza moyo usikufe kwa pressure π π π π π πKwani Kisumu Ina barabara ngapi.? ππ Ile ni interchange au unnecessary calvat inside your village center, Kisumu haiwezani na ARUSHA hata dakika moja .. upo hapa kutaja taja Mwanza, unakichaa.? πππ
sasa tunaenda sawa na ndiyo maana wakenya na majanga kama njaa, kipindupindu, ukosefu wa usalama ni sehemu ya maisha yenu all means of kenyan economy are owned by minority and most of them are foreigners. wakenya ni wanunuzi na wachuuziSo what? sisi mabepari ba mzee., hiyo umiliki wa 100% faida iko wapi?., route za dala dala pia hamuna faida π π π π π π π
mwaka uliopita wamekusanya around $9 billion. Kwa revenues kama hizi mbna wasikope kujenga madarasa [emoji23]Yaani pengine wajukuu wenu ndio wataviona., SGR tu inawachukua huu mda wote kasehemu kadogo! eti Natural Gas $30B., taifa nzima revenue ata nusu ya hiyo hamuwezi, na hamukopesheki kihivyo, ufukara, hizo projects ziko kwa makaratasi, ngoja pesa itolewe kisha uje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., Bagamoyo pia msipo mpa mchina haibanduki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., hivyo vi project unaanika humu, kwa uwezo wa uchumi wenu hafifu itawachukua miaka mia moja msipo kopa, wewe ni jinga type [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
The baboon is not seeing his ass!.., mifukara hamuna lenyu Tz, nenda kadanganye pengine wamalawi, ila wale wanawajua na wamewadharau., jidanganyeni tusasa tunaenda sawa na ndiyo maana wakenya na majanga kama njaa, kipindupindu, ukosefu wa usalama ni sehemu ya maisha yenu all means of kenyan economy are owned by minority and most of them are foreigners. wakenya ni wanunuzi na wachuuzi
$9B!!., alafu mtu anaitaja Tz kwa sentensi moja na Kenya, ina maana with big populace, raiya wengi ni fukara sana., mama kaongeza tozo wamelia! Tz is poor, a software problem!mwaka uliopita wamekusanya around $9 billion. Kwa revenues kama hizi mbna wasikope kujenga madarasa [emoji23]