Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujui kusoma ama ni ubishi wa magufuli umekujaa kichwani?
Onesha bone marrow transplant ambayo ni huduma adimu kupatikana, FYI nchi 7 tu Africa ndiyo zinatoa hyo huduma na kuna taarifa nimezipata Wakenya wameshajaza booking pale Muhimbili International hospital.
 
sasa umeongea nini? are u arguing just for the sake or trying to reason? Yaani wewe ni mbu mbu mbu kabisa humu., soma tena pole pole and even quote specifics tuone ujinga wako., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Lappset - US$22 billion
beats all those your shitty projects should I continue?
 
Your fellow Kunyamen want to deceive people that Kenya has roads over 1000Km full tarmac.
It has and nothing can change that ukiwa Na wivu haimaanishi it doesn't have .. Tanzania is a village so hearing Kenya has over 10,000 tarmac road astonishes you
 
Kamilisha kwanza, ndio maana nasema ngoja hiyo miaka 25., kama SGR mmeishi miaka na ni km chache kuliko Nairobi -Mombasa.,
malizeni projects mje tufanye hesabu.., 25 to 50 years.., Kenya ain't waiting πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , na Kenya licha ya kukua juu yenu bado inasonga mbele kwa mbele πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
#25-50years!
 
Kununua ndege pia ni infrastructural project? 🀣🀣🀣🀣

Alafu nitawaambia mara ngapi hakuna kitu kama electric SGR?
Vilaza full mikwara hawa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kituko[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
It is called Keyhole surgery and it was first done in Kenya, in Africa. Here it is, nionyeshe ya Tanzania. Alafu unionyeshe Liver transplant Tanzania.

 
Nani kakudanganya.., hebu fanya hesabu kwa hii battle tu, how many Tanzanians are here vs Kenyans, ata upande wa kenyan news, mmejaa kuliko wakenya, unajitekenya na kucheka idiot πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., hapa unaweka facts mambo ya domo domo ni kule unakoshinda vijiweni., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., naona ni ulcers na pressure utapata humu, na bado, tuko wachache laikini tunawatesa kweli., jamii forum haijulikani Kenya kilaza.,
 
Triangular [emoji41]kila kitu muhimu kipo hapo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Summarize Mwaka wa Battle in one Photo.

View attachment 2044784


View attachment 2044783
Tanzania nchi ya City moja, na City yenyewe CBD ni moja tu.., kisha uswazi kote kote., kelele zenu hazitobadilisha ukweli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , raha tele humu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡




 
hawezi kuleta,maana wanavimiradi vidogo vidogo visivyo na tija
Vipi hivyo vidogo vidogo? zitaje hapa.., kamilisheni kwanza., kwa mfano Dar port bado ni ndogo kwa Mombasa., jaribu mfikishe zilingane kwa kila kitu., tunangoja 25years tuone mtakua wapi, 2020 mliokua mmengoja mmuipiku Kenya ilipita bado nyie mikia kwa Kenya., wacheni kelele na uzembe chapeni kazi hatuwangoji.., #Lamu port., #Mombasa Port oil Jetty 99% done..,
 
kumbuka TZ tuna international airports nyingi kuliko kenya na bado tunajenga
weka hapa flight records ya hizo "international airports" unakurupuka humu nikuonyeshe kitu.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ bila Kenya hizo ni white elephants πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kama JKIA pekee inahandle more traffic than all your useless airports combined sasa ni nini mtatuambia?
Have u ever seen flight record ya hizo airports uchwara? utacheka tu, mitanzania na misifa hewa., ni mifukara inaonekana na wanakana., yaani wamevaa surauali yenye imeraruka nyuma, matako yote yako nje na wanapingana, kila kitu kwao kimejianika wazi wazi, ufukara, ushamba na underdevelopment πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hebu onesha hyo project ya $22bn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Onyesha LPG nione?.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
 
It has and nothing can change that ukiwa Na wivu haimaanishi it doesn't have .. Tanzania is a village so hearing Kenya has over 10,000 tarmac road astonishes you
Huyu c wewe huyu au uliandikiwa, wallahi Wakenya hamna akili [emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…