Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toa running costs tuone
Wewe sasa utasidiwa aje jamani! Did you go to school? And if so, hebu tuambie what's the formula for calculating profits? How can you arive at profits without factoring in running costs? Elimu ya Saint Kayumba balaa kweli
 
Sio barabara tu zimekwepa maeneo yaliyopo reserved Bali hata njia za umeme

 
Acha kulinganisha Karen na takataka za uswazi. Hiyo kigamboni ifike hii level kwanza ndio uje na viherehere

 
Wewe ni mjinga wa kuzaliwa. Tangu lini running cost ikahesabiwa kwa profit. Hujui tofauti ya revenue, expense na profit. Rudi shule.
Sasa hii ni faida? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Kwahyo unakataaa hapo sio NAIROBI au.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. unapost picha inayoenyesha majengo mawili kweli.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. eti propaganda . ichoboy01 jamaa wanapakataa kwao uku
Kusoma ndio haujui, uko na uelewa finyu sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Nionyeshe hili πŸ‘‡ πŸ‘‡ jengo kando ya KICC na ile UAP kwa hiyo picha yako, na pia parliament towers., nitafunga account, naona unaita semi illiterate mwenzako akusaidie πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ UAP ilikamilika mwaka upi? wewe ni taahira full kilaza kweli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , mnatumia picha ya kitambo kueneza propaganda πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



 
si nyie wa tz ndio mmejaa gikombaa mkiuza nguo kuu kuu...hata kwa hizo slums nyie tu ndio mna ishi huko huko
nyangau kwa kujitekenya na kujichekesha wenyewe hamjambo, njia sahihi za kuondosha shida zenu ni kuzitatua na si kuzikimbia
 
Wewe sasa utasidiwa aje jamani! Did you go to school? And if so, hebu tuambie what's the formula for calculating profits? How can you arive at profits without factoring in running costs? Elimu ya Saint Kayumba balaa kweli
Mikwara full mitahira., .vilaza.com πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Vitu Baba Levo aliona Nairobi akaenda kutoa ushuda Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2043816View attachment 2043820View attachment 2043824
Eeh bwana.., alipigwa na butwa., kwanza alipo sema "zile CBD zao(Nairobi) ziko na muonekano wa CBD....yaani Kimara yao nikama posta yetu" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Aliona na huu mzigo unao tesa ichoboy01.., "mali ya mchina" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,



na Outering pia.., Eastlands!! πŸ”₯ πŸ”₯


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…