Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ☝️ unaizingumzia Kenya au.? πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyie wenye KMs nyingi za barabara za vumbi vipi uko.? You have only 9k KMs of tarmac roads .. alaf upo hapa kupiga kelele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nazungumzia TZ, hata kupata locally authorized forex brokers bado ni ngumu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mko 25 years nyuma. Dunia inasonga mbele mbio nyinyi wavivu bado munapatiana excuses, eti ni utamaduni. 🀣🀣🀣🀣
 
KEY WORDS
1. BROKE ASS COUNTRY
2. BIG MOUTH

🀣🀣🀣
 
Hapa ☝️ unaizingumzia Kenya au.? πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyie wenye KMs nyingi za barabara za vumbi vipi uko.? You have only 9k KMs of tarmac roads .. alaf upo hapa kupiga kelele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bonge la nchi, the size of Nigeria na ikona road network ya 80k. Bado munapita kwa vichaka kama mifugo. 🀣🀣🀣🀣
 
Hehehehe nimekupiga mpaka umekimbia mada, shida mchana kama hiv nakosa free time kwa sana, nikitulia ntakunyoosha kama kawaida yangu
sawa dogo, nimesikia kilio chako, hauna uwezo wa kunyoosha mtu yeyote wewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚, ni kwa vile haujui ukweli na hampendi ukweli., kwa domo domo hapo itakua ni sawa, wewe fanya kazi.
 
Ilikubidi utumie picha nne Ili angalau ujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ then your tiny town and everything with in.. stadiums, airports, railway station, interchanges, CBDs and both of yo Rich and poor neighborhoodsπŸ‘‡View attachment 2043567
HiLo eneo mbele ya CBD lina majengo mengine hayanahata madirisha, kuna picha ya karibu hapo inaelezea kila kitu.

 
Kenya hakuna barabara yenye urefu wa 1000km yenye lami, Nairobi Lokichoggio ni vumbi tupu na haifiki 1000km, Nairobi to Mandera ni vumbi tupu, Nairobi to Taita Taveta ni vumbi tupu, wacha kudanganya.
 
HiLo eneo mbele ya CBD lina majengo mengine hayanahata madirisha, kuna picha ya karibu hapo inaelezea kila kitu.

View attachment 2043720
Hii old CBD Nairobi ni ya mwaka gani mkuu? hapo kando ya KICC sioni jengo flani? na kule mbele sioni UAP tower., UpperHill ilikua bado sana.., inaitwa desperation baada ya ukweli kuanikwa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Tofautisha πŸ‘‡ na hiyo πŸ‘† yako..,






 
Hapa hakuna battle, hauoni vile wako desperate hadi mtu ana post nairobi ya 90s anajaribu kujikomboa kutokana na kichapo cha mbwa.., taarifa ya Knight frank leo hii hawataki πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., hapa imekua entertainmaent zone as I watch bongolalaz wakitapatapa tu, wamechoka bana, hawana jibu kwa Nairobi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Bonge la nchi, the size of Nigeria na ikona road network ya 80k. Bado munapita kwa vichaka kama mifugo. 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Mko na KMs ngapi za paved roads, naomba uje na vyanzo vya habari vya kuaminika tahadhali usetuletee tweets hapa .. ukinionyesha mko na zaidi ya 9k roads KMs natoka Jf,. NB: habari zitoke kwenye credible sources tu. Hautaki tweets hapa wa article uchwara za kutengeza
 
Knight frank anaijua tz kuliko serikali ya Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wew sidhani kama upo timamu .. eti hii πŸ‘‡ ni picha ya 90sπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚then show us New look of this area.. nyumba zenye hazina madirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…