Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Zee la kujifurahisha, sasa hapa nini chaajabu.? 😂😂😂Ku argue na mitanzania ni balaa.., let me enjoy as I wait for 25 years..,
View attachment 2042607
View of Westy
View attachment 2042624
Sections of Old CBD street level..,
View attachment 2042632
View attachment 2042634
Hakuna vile hii itakua superhighway. Wacha kuota mchana.
Sasa unataka kutuambia eti hii ni superhighway?View attachment 2042965View attachment 2042966
Hiyo barabara bado ipo under construction, hapo katikati ni kwaajili ya BRT Lanes, acha kujifariji kijana
Na kwnn tuiite superhighway, unadhani cc ni ******* kama nyinyi?Hakuna vile hii itakua superhighway. Wacha kuota mchana.
Superhighway ndiyo kitu gn hicho?Sasa unataka kutuambia eti hii ni superhighway?
Ate hii ndio superhighway?🤣🤣🤣Hakuna vile hii itakua superhighway. Wacha kuota mchana.
Hapa Ni wapi! Haiti?kwani planning Ni -1000Hakuna vile hii itakua superhighway. Wacha kuota mchana.
Barabara ambayo you can push the pedal to the metal ju haina disruptions zozote kwa flow of traffic.Superhighway ndiyo kitu gn hicho?
wangojee changamwe interchange ya Mombasa [emoji38]Ate hii ndio superhighway?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hii ni kama Oyugis highway ya kuenda Kisii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni mkund.u wako [emoji116][emoji116]View attachment 2042920
Hapa Ni wapi! Haiti?kwani planning Ni -1000
Unajenga aje barabara ndani ya city without service Lanes!
Kama huo upuuzi ulioonesha hapo ni superhighway na hii itaitwaje superlowway au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2042900
Superhighway kwa standards za Kikunya 😂😂😂😂 huo uchochoro kwa wenye exposureSuperhighway ndiyo kitu gn hicho?
Ate hii ndio superhighway?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mna edit picha ili tufanane kwa ma slums, yn Wakenya wanakesha kuharibu taswira ya Tz wkt Watz wala hatuna muda nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2043039
Taja eneo lolote Kenya nitakuonesha Slums.I pity this poor country of yours.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mna edit picha ili tufanane kwa ma slums, yn Wakenya wanakesha kuharibu taswira ya Tz wkt Watz wala hatuna muda nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]