Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sihitaji heshima yako kwasababu hainisaidii chochote. Ninasimama kwenye upande wa haki na usawa siku zote na sijawahi kujutia.
 
Mzee labda mababu WA kwenu. Sehemu nyingine hata mnyama wa kufungwa aki practice huo mchezo anauliwa
Kwa hiyo Uko tayari kuua binadamu mwenzio kwasababu hupendi kuona ampenda binadamu mwingine?



Tuanze na historia ya pre-colonial Uganda. Uganda is actually one of the most anti-LGBTQ nations in Africa. But before the British colonialists brought Christianity, things were quite different.



 
hichi ndio kijiji wanafananisha na arusha na lake victoria iko pua na mdomo😂😂😂
 
The Eye of Nairobi. The largest Ferris Wheel in Africa.



Gurudumu la bongo aka Jicho la Dar es salaam. 🤣🤣🤣🤣
nyie si mumepata juzi huku ziko zaidi ya miaka 10 iliopita na hii zanzibar👇👇
 
be serious man....hizo zako ni zile ziko lunar park Nairobi.....merry go round.
kwanza tunafurahi kwa kufungua id mpya tunajua ni miongoni mwa wale wale wasikuzote karibu sana 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…