Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ghorofa moja linaweza pigwa picha kila engo halafu inapostiwa humu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawawezi. Air Tanzania ikienda mbali sana hii dunia ni India tu. [emoji23][emoji23][emoji23] Kama safari ya Nairobi pekee walifurahia nikama wanaenda London. [emoji23][emoji23][emoji23]
huko saut Africa kwanini hawaendi?[emoji1787]
 
Bro zimekua ni ndoto zangu za mda mrefu sana kubadili narratives kuhusu Dar, nasubiri DJI yangu nikiishika mkononi nitakua nikipiga picha za juu za maeneo mengi na huu Uzi utakua wa moto sana
 
Ghorofa moja linaweza pigwa picha kila engo halafu inapostiwa humu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapoteza muda wao kutengeneza picha mbovu, ona hapa eti wametengeneza hii picha wakijaribu kuharibu muonekano halisi wa eneo, hapa chini nimeweka picha yao waliyoitengeneza na ile halisi, wakunya cjui kwnn wana chuki na Tz namna hii.
 
Huyo Dar inamsumbua sn, hajawahi kuijua na hatokaa aijue cz ni much know sn, juzi kaweka picha ya Buguruni aki claim ni Ilala kisa aliingia Google akaona Buguruni Ilala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tahira sana huyo jamaa anafkiri anaweza kuijua DSM kwa google tu 😂😂, halaf inaonekana anatamani maeneo yasiendelee kabisa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…