El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
milima,mito na maziwa ni moja ya vivutio vya asili vya LDC,huko kwenu moja ya kivutio ni jangwa na ukame lakini mnaona aibu kupost picha za jangwa na ukame.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
povu hilo....punguza hasira kijana fukara wa nchi ya njaa....nchi ya uhaba wa chakula.bado tu nyinyi ni least developed country kama Congo ama Somalia. ....Hao ndio rika zenu punguani wa LDC. ......milima na mabonde haiwezi sitiri umaskini uliofisha na kumega watanzania wenzako....tokeni JF mfanye kazi angalau mjinasue kutoka ldc. ...take the advice or leave it.Na salimia familia yako inayokaa Nairobi. ...Lol
vijana wengi wa nairobi kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,wamepanga bedsitter room katika yale maeneo ya duni ya nairobi.
kwa wale wasioelewa kuhusu bedsitter,ni kajichumba flani hivi kadogo ambapo jiko na choo hupatikani eneo moja.
kutokana mazingira ya bedsitter room,
harufu ya kinyesi toka chooni mara nyingi huenea mpaka jikoni.
msishangae kwanini vijana wa kikenya wana kuwa na ujinga ujinga kichwani,ni kwasababu mda mwingi wanavuta harufu ya kinyesi inayotakana na mazingira ya bedsitter wanayoishi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
povu hilo....punguza hasira kijana fukara wa nchi ya njaa....nchi ya uhaba wa chakula.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angalia picha wacha umbeapoleni.....your estate and Property Market is at an infant stage. ....Lol.
LDC baby.njaa na 78% of Tanzanians wanalala njaa....least developed country. ..hahaha. poleni kwa aibu
Huyo anakupotezea muda. Hivi ukiweka apartments zote za Dar hii thread si utajaa picha tu! Upanga 99% ni apartments. Oysterbay nyumba za setikali walionunua wanazigeuza apartments.
Kwann usiangalie picha. ..unauliza au unatoa majibu?hahaha. . I see you guys claim upanga is a CBD mara residential ....why are you guys not consintent
ni ukweli mzeiya.
sawa njoroge temekusikia.ni ukweli mzeiya.
na majina zenu zinakaa kchawi chawi eti upanga, masake.... what the hell??? don't you guys have some fancy names for your leafy surbarbs??
[HASHTAG]#ThingsWeSeeOnJf[/HASHTAG]
wanaanza hivi hivi kimasihara masihara.
endelea kutuma picha za omenasawa njoroge temekusikia.