Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so ulitaka nisiseme kama upper hill imo ndani yani kosa langu kusema ukweli tu🀣🀣🀣🀣
Nilitaka tu nikuondoe ujinga and I think I have. A picture can capture things that are far zionekane zimekaribiana, depending on the angle of the picture and the professionalism of the photographer.

Hii ujinga yako ya Kuchora circles kwa mipiccha just because sehemu mbili tofauti zimekuwa captured in a single shot ni ujinga unafaa kuwacha. Mbona sasa hutoi povu kuhusu hiyo picha ya posta na kijitonyama in shot? Ama sasa umesahau kuchora circles?
 
ujinga kwamba ukisema ukweli 🀣🀣🀣 yani kusema ukweli ndio kumeniponza ulitaka nisiseme + upperhill au??
picha iko wazi upper hill inaonekana vzr kabisa
 
Ghorofa za kando ya Barabara. Dar ni posta tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hata maghufuli alisema na Baba Levo akarudia.
magufuli alisemaje hebu tukumbushe ??🀣🀣🀣🀣🀣
 
Things they are busy comparing with places like Kilimani.


Hii si ni kukosea Kilimani heshima jaman!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…