kiba mwenyewe ana range rover na watu wako kimya tu 🤣🤣 achana na hao wajingaKwani ni uongo uko kwenu hakuna matajiri mpaka mnaona Toyota ni gari za maana.? Hata wasanii wenye kipato cha juu cha kati bongo magari ya toyota wameanza kuyakwepa 👇kutana na jux akiingia BENZ E-CLASS
Hehee!!yani uache mpya kwenu uende ukanunue kitu ukisubirie miezi, pole sanatoyota ziko kila nchi ni maamuzi ya mtu anataka kununua wapi [emoji23][emoji23][emoji23] au nyinyi ndio munapanga watu duniani wanunue wapi
kwani hujui toyota inauzia gari zake nyingi dubai ?? au unafkiri hzi toyota kenya au toyota tanzania zinatoa wapi hzo gari ??Mwenye hela hanunui gari dubai[emoji1787][emoji1787]
Anaagiza kiwandani
Narudia tena, mwenye hela hanunui gari dubai..upo?kwani hujui toyota inauzia gari zake nyingi dubai ?? au unafkiri hzi toyota kenya au toyota tanzania zinatoa wapi hzo gari ??
hujui hata gari nyingi zinazokuja africa zinatoka dubai hilo ulikua hujui 🤣🤣🤣 ndio maana dubai ndio kitovu cha biashara dunianiHehee!!yani uache mpya kwenu uende ukanunue kitu ukisubirie miezi, pole sana
kwani hzi toyota kenya na toyota tanzania zinachukua gari kutoka wapi??🤣🤣🤣Narudia tena, mwenye hela hanunui gari dubai..upo
Zinachukua, nionyeshe lini toyota kenya wanachukua gari...kwani hzi toyota kenya na toyota tanzania zinachukua gari kutoka wapi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nandy mwenyewe ana BMW na watu wako kimya tu
komora096 njoo ukukiba mwenyewe ana range rover na watu wako kimya tu 🤣🤣 achana na hao wajinga
kwasababu toyota dubai ndio distributer wa magari karibia yote africa unabisha au??🤣Zinachukua, nionyeshe lini toyota kenya wanachukua gari...
Toyota kenya gari zao hazitoki dubai zinakua transit mzee...
Ile sio biashara ya tomato mr.tomoko[emoji1787][emoji1787]
Hehehe!!usinitoe kwenye reli, tajiri hanunui gari dubai[emoji1787][emoji1787]kwasababu toyota dubai ndio distributer wa magari karibia yote africa unabisha au??[emoji1787]
nakwambia hvi mm naeza nunua gari direct from dubai brand new ww utasema nn 🤣🤣Hehehe!!usinitoe kwenye reli, tajiri hanunui gari dubai[emoji1787][emoji1787]
Dubai ni sehemu ya ku transit magari
Ila wewe ni kilaza sana, 😂😂😂 kwahyo unataka kusema Dubai hakuna showroom za magari mapya au? Kwamba tajiri kaingia zake kwenye showroom ya Dubai,kapenda ndinga kanunua, hauwezekani.?Hehehe!!usinitoe kwenye reli, tajiri hanunui gari dubai[emoji1787][emoji1787]
Dubai ni sehemu ya ku transit magari
Bwahahaha!!wakati km hyo ipo toyota tz[emoji1787][emoji1787]nakwambia hvi mm naeza nunua gari direct from dubai brand new ww utasema nn [emoji1787][emoji1787]
ujinga muliachiwa na nani???
mtu yoyote anaeza agiza gari brand new form dubai kataa sasa🤣🤣🤣🤣Bwahahaha!!wakati km hyo ipo toyota tz[emoji1787][emoji1787]
Uache gari hku eti ukanunue dubai uisubiri wiki kadhaa wakati toyota tz unapata chombo kile kile tena siku hyo hyo..
Pole sana..naona ulienda missing google ukaambulia patupu mada ya RR..
Hapa hunitoi kabisa
Uende dubai ukafanyeje wakati wamekuleta mpka nyumbani...Ila wewe ni kilaza sana, [emoji23][emoji23][emoji23] kwahyo unataka kusema Dubai hakuna showroom za magari mapya au? Kwamba tajiri kaingia zake kwenye showroom ya Dubai,kapenda ndinga kanunua, hauwezekani.?
ukakosa link kua aliagiza RR marekani ningekukamua mavi usingeamini mamaeee😂😂😂😂😂 ww unaumia mwenzako kununua magari ya kifakhari waka ndoto ya kumiliki ardhi hunaBwahahaha!!wakati km hyo ipo toyota tz[emoji1787][emoji1787]
Uache gari hku eti ukanunue dubai uisubiri wiki kadhaa wakati toyota tz unapata chombo kile kile tena siku hyo hyo..
Pole sana..naona ulienda missing google ukaambulia patupu mada ya RR..
Hapa hunitoi kabisa
Heb ngoja kwanza tunazungumzia RR au Toyota .?Uende dubai ukafanyeje wakati wamekuleta mpka nyumbani...
"Toyota tz"[emoji1787][emoji1787]
kwani nikienda dubai kutembea nikaona gari nikanunua kuna shida gani??😂😂😂Uende dubai ukafanyeje wakati wamekuleta mpka nyumbani...
"Toyota tz"[emoji1787][emoji1787]