Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kericho tea...Kenya is worlds leading black tea producer



sent from iPhone 7



hahaha Collo umezima nyangau ya LDC. ....majamaa hawana classy residential zones,roads na industry zao chache ati wanadai compete na Kenya. ...Lol. Amejaribu hadi tribal tactics lakini its like haiskiki lol
 
watanzania semeni tu neno gated communities, estates na apartments ni geni kwenu. Huwa hamna picha za kujibu sasa ni visingizio tu....hahaha. Mtaelewa tu issue ya mortgage mkitoka LDC
Ni kweli sisi hiyo ni ngeni kwetu kama ujuavyo tz ilikuwa nchi ya kijamaa na Kenya ya kibepari ikimilikiwa na wakoloni mpaka Leo wakiendelea kuitawala Kenya kwa kila kitu mawazo uchumi ,lugha na fikra. Huwa nacheka sana ninapoona watumwa wa Kenya mkijivunia kiingereza. Wanachotaka kueleza watanzania Ni kwamba pamoja na mambo ya apartments na estates kuwa mageni ila kwa speed walionayo wanakila sababu ya kujivuna ukilinganisha na nyie kuwepo huko kwa muda lakin bado mna mabanda ya kutosha. Kwa msio jua Kenya Hawa wote mnaochati nao humu wakenya hawana uwezo wa kumiliki ardhi wala kuwa na nyumba. Maisha yao yote ni kupanga ndio maana sekta ya ujenzi huo inakuwa tofauti na watanzania kila MTU ana uwezo wa kumiliki ardhi na kujenga atakavyo ndio maana changamoto ya miji isiyopangika Ni kubwa. Nilikaa Kenya nikafanya kautafiti kangu nikagundua wazungu wanaimiliki hiyo nchi waKenya ni wapangaji hata hizo apartments nyingi wajenga wazungu na wasomali wakenya Ni wachache sana ambao ni wamiliki na sababu hao wachache unakuta walikuwa watumishi wa serikali wakafisadi ,si mnajua rais wenu anamiliki kiasi gani. Samahani ukweli huwa unauma ukiambiwa na mtu anaekujua vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
that is a well know fact....thanks for your opinion brother.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
what a load of sh!t. hujui umachoongea wewe.
 
umemuua vizuri kweli
 




hahaha. .....mmeshindwa kujitetea na mapicha sasa mnasema wasomali na wazungu ndio wanajenga apartments Kenya. ....hahaha. This must be the comedy of the year. ....... mna huru ya kumiliki årdhi ya kujenga swahili ugly shacks.nyinyi mkiangalia aeriel view ya hiyo fishing village yenu ya Dar na makao duni yanayoizingira mnajifariji tu bado. .smh.kweli you Tanzanians are loose Upstairs
 
niliwaambia watu wa nchi ya njaa kuwa mashamba ya chai ya kericho ambayo yanamilikiwa na mafisadi wa kenya baada ya kupora ardhi ya wakenya wanyonge na masikini, hayawezi kuizidi tanzania kwa mvuto wa kiasili.

tanzania ni kubwa sana,pia ina maeneo mengi yenye rutuba yanayopokea mvua za kutosha zinazoruhusu ustawi wa uoto wa asili ilhali eneo kubwa la kenya ni jangwa/kame


beautiful nature view of machame plus an amazing view of mount kilimanjaro.
 
my friend kaduda,, re-read the title of the thread and adhere to the topics of discussion.
kindly go through this thread Natural Attractions in Kenya and Tanzania and see what it entails
buda nini shida?.unalia nini?.
wewe kuwa huru tu kuleta picha za mvuto wa asili za maeneo yote ya kenya hapa,acha kulalamika.

mbona kuna wakati huwa mnaleta picha za magorofa ya mombasa,eldoret,kericho na kwingineko sisi hatulalamiki?.

sikia buda,endeleeni tu ku-repost picha za CBD,sisi kila siku tutakuwa runaleta picha mpya za LDC,iwe dar au nje ya dar
cos kwa battle ya nai vs dar tulishashinda since day one.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…